Ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja madarakani kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake ungemuondoa nani?

Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Hata ukimtoa Saa 100 kwenye kiti tatizo litakuwa bado, dawa ni katiba yenye ubora kwa nchi na wananchi
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Wa kuondolewa ni anayewateua mawaziri wabovu
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
1. IJuma Awesu - Mwizi mkubwa na tapeli wa kuzugia uchapa kazi kwa maza kupitia media
 
Ukitaka kuondoa magugu haukati majani unangoa gugu lote., hence kwanini usimwondoe anayewateua ?!!

Sisi hauwezi wala sio wewe uliyewachagua muhimu ni kuendelea kuwaambia ukweli na sio kuwasifia (Namaanisha wote) atleast wataacha kupiga kelele zao au kupata justification ya upuuzi wanaofanya (Wote)
 
Huyu alitakiwa awe namba moja
Leo Local Economy imezorota Mfumuko wa Bei Gharama za kuishi ziko JUU nayeye anajiita ati MCHUMI.

Yeye ndie angepunguza Tax Burden kwenye Biashara NDOGO NDOGO na angekuwa anafanya Ziara kadha Mitaani ili kuongea na Wananchi Consumers na Wenye Maduka Madogo madogo.

Kuliko yeye kuwaza KUPIGA TU.
 
Nang'oa cabinet yote ya mawaziri natupa kule bila kumsahau Katelephone😃. Sababu ukiangalia kila sector Tz haiko vizuri mfano uhaba wa sukari(wizara ya viwanda, biashara, kilimo), Umeme wa mgao(wizara ya Nishati/madini), huduma duni za maji mijini na vijijini(wizara ya Maji), mfumuko wa bei na ukuaji wa deni la Taifa (wizara ya fedha/mipango)n.k mwisho unafyeka na mipango yote 😃 pamoja na sa100 kisha unaanza upya.
 
Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani?
Nilichogundua tatizo sio mawaziri tatizo ni Mfumo, Ila TANESCO hii wizara hii huyu Jamaa angeachiwa tu awe Naibu Waziri Mkuu pale kwenye Nishati awekwe mtu ambae amechafukwa ili kusudi hawa jamaa wa TANESCO wanyooke na akili ziwakae Sawa sio kwa kututesa hivi hata akiwekwa Kalemani sio vibaya
 
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?

Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?

Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus) una nafasi yako adhimu.

Ungekuwa na nafasi hiyo ungelamba kichwa cha nani
BASH
 
Back
Top Bottom