Huyu jamaa ana psychological disorder ya hali ya juu sana, bad enough inasikitisha uongozi wa Yanga unalea hii takataka. Nimeishi Yanga miaka mingi sana hiki kituko sijawai ona.Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukasmua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Au kwa haiba yake akiguswa atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo!
Kitu pekee inaweza kutia matatani ni kuutamani uenyekiti wa CCM baasi.Imenyesha,sasa tutajua kama paa linavuja ama vipi.
Ila bongo kila kitu kinawezekana isipokuwa MAENDELEO!
Imenyesha,sasa tutajua kama paa linavuja ama vipi.
Ila bongo kila kitu kinawezekana isipokuwa MAENDELEO!
Unajua kama wanalunyasi🦁siku zote ni wanaaa🚶Eti wadau ukipigwa marufuku kula nyama kwa miaka miwili halafu ukaamua kuinyonya, kuilamba na kunywa mchuzi wake utakuwa umevunja kanuni?
Case study Haji manara! Sikio la kufa!
Kaonekana akitangaza leo taifa, kwa haiba yake akiguswa na TFF atakuwa kaonewa? Tueleweshane hapo! AU makundi maalum wanaruhusiwa kuvunja sheria!
Akipigwa mvua ya maisha halafu akaendelea inakuwaje?Apigwe mvua ya maisha maana ameonyesha kuidharau taasisi moja Kwa moja..
Nampeleka polisiAkipigwa mvua ya maisha halafu akaendelea inakuwaje?
Mke ukimpa talaka halafu akaendelea kuforce penzi huyo ni mfanya fujoAkipigwa mvua ya maisha halafu akaendelea inakuwaje?
Acha ujinga wewe,unawahusishaje wananchi na vitu visivyoeleweka kama wanachukua chako mapema (ccm)Yanga=CCM=serikali=sensa=posho
Hapo kwel lazima ung'olewe meno na kucha, Pesa chota lakini kiti cha Green-Yellow waachie wakurungwa.Kitu pekee inaweza kutia matatani ni kuutamani uenyekiti wa CCM baasi.
Nini maana ya kutokujihusisha na shughuli za mpira?Mnataka aishi vipi?
Mmemfungia kwenye soka, hamtaki hata afanye kazi zingine?
Kaenda pale kama MC,thats all.
Tafuta hata kale ka Card ka uvccm kaka ufanye kuzugia ulambe asali vinginevyo utaish kusindikiza watanzania, Huoni kama hao jamaa ulowataja wanafanana rangi/jez.Yanga=CCM=serikali=sensa=posho
White haguswi na Meno bali Maneno hakika ataendelea kama atakavyoMke ukimpa talaka halafu akaendelea kuforce penzi huyo ni mfanya fujo