Kucheka siwezi, kuhudhunika haitoshi; hata kukasirika haisaidii kitu. Labda tubaki tu tukishangaa!View attachment 3162301
Nipo njiani kuwapelekea zawadi ndugu zangu.
Hakuna kama mama, ndio ukweli.
Nambari wani weeh, nambari wani nambari wani ni …,.
Mengine kuchangamsha jukwaa la siasa tu.
Wacha tumuulize Mbowe na Lissu!Mkapige kura au mkaonyeshe ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura?
Hizo namba zenu wanapata wapi?Wanabodi
Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CCM.
Chagua CCM ili tuendelee kukuletea maendeleo hadi mlangoni kwako, Asante.”
Ujumbe huu usambaze kwa watu wako wote na kuwakumbusha kuwa kesho kazi ni moja tuu, ni unachukua..., unaweka...
Japo watu wako huru kuchagua wagombea kutoka chama chochote, lakini kwa muktadha wa siasa za Tanzania, japo nchi yetu inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa, lakini ukweli wa vyama kwa maana ya vyama, Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa, the one and only, hivyo kazi ya kesho ni kazi moja tuu, kukichagua, kwa kuchagua wagombea wake.
Laiti Tanzania tungekuwa na vyama vingi kweli, ningewashauri watu wawachague wagombea wa vyama vyovyote, lakini kwa vile chama kwa maana ya chama ni tuna chama kimoja tuu, then kesho, twendeni kupiga kura na tukichague!.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Paskali.
Kucheka siwezi, kuhudhunika haitoshi; hata kukasirika haisaidii kitu. Labda tubaki tu tukishangaa!
Hiyo ramani inagusa sana hisia, ukiisoma kwa uangalifu.
Haya 😀Kwani si mmepangiana zamu, au vipi? Sihitaji ufafanuzi wowote kueleweka.
Tunafahamiana sana hata kabla hajawa rais, ukihitaji number yake njoo tuu inbox nakupatia, ila usipige simu, unatuma tuu text, yeye ndio atakupigia.Hizo namba zenu wanapata wapi?
Utakapo kuwa upo hapa, usisahau kuitumia fursa wanayo itumia wana CCM wenzako, wa kufaidi hayo mapesa ya wajomba yanayo mwagika kama mvua toka mbinguni.View attachment 3162353
Sijui nikusaidie vipi mimi nipo njiani na mzigo wangu kuwakumbusha wana CCM chama na chama sio mtu.
Hayo mambo yenu ya umungu mtu ndani ya CDM mnaweza yamaliza wenyewe
MaCCM yanakera, Iła CCM chama; nipo njiani kwenda kuwakumbusha ndugu zangu CCM chama.
Sina haja na namba ya rais mkuu, sasa mimi nikioata namba ya Samia nitaongea naye nini?Tunafahamiana sana hata kabla hajawa rais, ukihitaji number yake njoo tuu inbox nakupatia, ila usipige simu, unatuma tuu text, yeye ndio atakupigia.
P
YANGA WAMEFUNGWA KWA MARA NYINGINE.Wanabodi
Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CCM.
Chagua CCM ili tuendelee kukuletea maendeleo hadi mlangoni kwako, Asante.”
Ujumbe huu usambaze kwa watu wako wote na kuwakumbusha kuwa kesho kazi ni moja tuu, ni unachukua..., unaweka...
Japo watu wako huru kuchagua wagombea kutoka chama chochote, lakini kwa muktadha wa siasa za Tanzania, japo nchi yetu inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa, lakini ukweli wa vyama kwa maana ya vyama, Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa, the one and only, hivyo kazi ya kesho ni kazi moja tuu, kukichagua, kwa kuchagua wagombea wake.
Laiti Tanzania tungekuwa na vyama vingi kweli, ningewashauri watu wawachague wagombea wa vyama vyovyote, lakini kwa vile chama kwa maana ya chama ni tuna chama kimoja tuu, then kesho, twendeni kupiga kura na tukichague!.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Paskali.
Utakapo kuwa upo hapa, usisahau kuitumia fursa wanayo itumia wana CCM wenzako, wa kufaidi hayo mapesa ya wajomba yanayo mwagika kama mvua toka mbinguni.
Lakini kumbuka; kuna uwezekano wa kutekwa na kupotezwa pia kama unaleta kichwa ngumu toka huko uliko sasa.
Kuna jamaa mbeya ana jina ka.a lake naona kapatwa na msala sasa sijui wana unduguLucas Mwashambwa yuko wapi Leo? 🐼
Sio tuu nimeishi ulaya, nimesoma ulaya, familia inaishi ulaya, siishi kiulaya ulaya, naishi ki Engusero.Paschal siamini kama umeishi Ulaya mkuu yaani bora mtu aliyekulia Engusero asee anajitambua kidogo
You know, kuna mambo ya kufanya utani juu yake. Mstari wangu wa mwisho huwa ni kwenye maswala haya ya chama na viongozi wake kuwafanya waTanzania kuwa kama majuha.View attachment 3162364
Kaka nipo njiani kweli kwenda kuwambusha ndugu na jamaa CCM ni chama.
Yaani huko Tanzania wala usiangaike na mimi, kwanza kuna watu wakijua tu una ugomvi na mimi kwa jinsi wanavyonijua nilivyo mstaarabu wananunua wao huo ugomvi.
Anyway it’s not about me, mimi
nipo njiani kuwakumbusha ndugu kuna watu wachonganishi tu Iła Samia anatosha.
Kwa vile mamlaka zote ni kutoka kwa Mungu, kama ni kweli sio chama bali ni kusanyiko la shetani, ina maana ni Mungu, ameikabidhi Tanzania kwa shetani?.Kile siyo chama ni kusanyiko la shetani kabisa
Engusero au Ngusero.Paschal siamini kama umeishi Ulaya mkuu yaani bora mtu aliyekulia Engusero asee anajitambua kidogo
Salaleh mkwala heavy kusoma tu inabidi ukubali yaishe 🙌🏿You know, kuna mambo ya kufanya utani juu yake. Mstari wangu wa mwisho huwa ni kwenye maswala haya ya chama na viongozi wake kuwafanya waTanzania kuwa kama majuha.
Kwa hiyo, tafadhari, hili tuliachie hapa. I have no care in the world who is concerned, whether it is CHADEMA or CCM. There should be no stupidity as far as the welfare of Tanzania is involved.