Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

View attachment 3162301

Nipo njiani kuwapelekea zawadi ndugu zangu.

Hakuna kama mama, ndio ukweli.

Nambari wani weeh, nambari wani nambari wani ni …,.

Mengine kuchangamsha jukwaa la siasa tu.
Kucheka siwezi, kuhudhunika haitoshi; hata kukasirika haisaidii kitu. Labda tubaki tu tukishangaa!

Hiyo ramani inagusa sana hisia, ukiisoma kwa uangalifu.
 
Wanabodi

Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CCM.
Chagua CCM ili tuendelee kukuletea maendeleo hadi mlangoni kwako, Asante.”

Ujumbe huu usambaze kwa watu wako wote na kuwakumbusha kuwa kesho kazi ni moja tuu, ni unachukua..., unaweka...

Japo watu wako huru kuchagua wagombea kutoka chama chochote, lakini kwa muktadha wa siasa za Tanzania, japo nchi yetu inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa, lakini ukweli wa vyama kwa maana ya vyama, Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa, the one and only, hivyo kazi ya kesho ni kazi moja tuu, kukichagua, kwa kuchagua wagombea wake.

Laiti Tanzania tungekuwa na vyama vingi kweli, ningewashauri watu wawachague wagombea wa vyama vyovyote, lakini kwa vile chama kwa maana ya chama ni tuna chama kimoja tuu, then kesho, twendeni kupiga kura na tukichague!.

Nawatakia uchaguzi mwema.

Paskali.
Hizo namba zenu wanapata wapi?
 
Kucheka siwezi, kuhudhunika haitoshi; hata kukasirika haisaidii kitu. Labda tubaki tu tukishangaa!

Hiyo ramani inagusa sana hisia, ukiisoma kwa uangalifu.
IMG_7627.jpeg

Sijui nikusaidie vipi mimi nipo njiani na mzigo wangu kuwakumbusha ndugu zangu wana ya kuwa CCM ni chama na chama sio mtu bali watu.

Hayo mambo yenu ya umungu mtu ndani ya CDM mnaweza yamaliza wenyewe

MaCCM yanakera, Iła CCM chama; nipo njiani kwenda kuwakumbusha ndugu zangu CCM chama.
 
View attachment 3162353

Sijui nikusaidie vipi mimi nipo njiani na mzigo wangu kuwakumbusha wana CCM chama na chama sio mtu.

Hayo mambo yenu ya umungu mtu ndani ya CDM mnaweza yamaliza wenyewe

MaCCM yanakera, Iła CCM chama; nipo njiani kwenda kuwakumbusha ndugu zangu CCM chama.
Utakapo kuwa upo hapa, usisahau kuitumia fursa wanayo itumia wana CCM wenzako, wa kufaidi hayo mapesa ya wajomba yanayo mwagika kama mvua toka mbinguni.
Lakini kumbuka; kuna uwezekano wa kutekwa na kupotezwa pia kama unaleta kichwa ngumu toka huko uliko sasa.
 
Tunafahamiana sana hata kabla hajawa rais, ukihitaji number yake njoo tuu inbox nakupatia, ila usipige simu, unatuma tuu text, yeye ndio atakupigia.
P
Sina haja na namba ya rais mkuu, sasa mimi nikioata namba ya Samia nitaongea naye nini?

Mimi nilikuwa naitwa na balozi Mahiga kwenda kukutana na Rais Kikwete nyumbani kwa balozi, kwa heshima ya balozi Mahiga nilikuw anampa udhuru tu kuwa nipo kazini ila sikutaka tu kukutana na Kikwete.

Nimeanza kutembea corridors za Ikulu tangu nipo tumbomi mwa mama yangu, sina shida ya kushobokea wakubwa wa nchi.

Ninapenda kujua kama watu wote wanaotumiwa text hizi wanafahamiana hivyo na rais au vipi?
 
Wanabodi

Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CCM.
Chagua CCM ili tuendelee kukuletea maendeleo hadi mlangoni kwako, Asante.”

Ujumbe huu usambaze kwa watu wako wote na kuwakumbusha kuwa kesho kazi ni moja tuu, ni unachukua..., unaweka...

Japo watu wako huru kuchagua wagombea kutoka chama chochote, lakini kwa muktadha wa siasa za Tanzania, japo nchi yetu inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa, lakini ukweli wa vyama kwa maana ya vyama, Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa, the one and only, hivyo kazi ya kesho ni kazi moja tuu, kukichagua, kwa kuchagua wagombea wake.

Laiti Tanzania tungekuwa na vyama vingi kweli, ningewashauri watu wawachague wagombea wa vyama vyovyote, lakini kwa vile chama kwa maana ya chama ni tuna chama kimoja tuu, then kesho, twendeni kupiga kura na tukichague!.

Nawatakia uchaguzi mwema.

Paskali.
YANGA WAMEFUNGWA KWA MARA NYINGINE.
WATAENDELEA KWA MARA NYINGINE.
 
Utakapo kuwa upo hapa, usisahau kuitumia fursa wanayo itumia wana CCM wenzako, wa kufaidi hayo mapesa ya wajomba yanayo mwagika kama mvua toka mbinguni.
Lakini kumbuka; kuna uwezekano wa kutekwa na kupotezwa pia kama unaleta kichwa ngumu toka huko uliko sasa.
IMG_7628.jpeg

Kaka nipo njiani kweli kwenda kuwambusha ndugu na jamaa CCM ni chama.

Yaani huko Tanzania wala usiangaike na mimi, kwanza kuna watu wakijua tu una ugomvi na mimi kwa jinsi wanavyonijua nilivyo mstaarabu wananunua wao huo ugomvi.

Anyway it’s not about me, mimi
nipo njiani kuwakumbusha ndugu kuna watu wachonganishi tu Iła Samia anatosha.
 
View attachment 3162364

You know, kuna mambo ya kufanya utani juu yake. Mstari wangu wa mwisho huwa ni kwenye maswala haya ya chama na viongozi wake kuwafanya waTanzania kuwa kama majuha.

Kwa hiyo, tafadhari, hili tuliachie hapa. I have no care in the world who is concerned, whether it is CHADEMA or CCM. There should be no stupidity as far as the welfare of Tanzania is involved.
 
Salaleh mkwala heavy kusoma tu inabidi ukubali yaishe 🙌🏿
 
Back
Top Bottom