Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Kila mmoja atapiga kura kwa mgombea anayeona ana sifa zaidi ya wengine.
 
Bado hawajakupa teuzi yoyote ?
 
Acha kupotosha umma, ww ni msomi na una akili timamu, uchaguzi gani wakati wasimamizi wote ni makada watiifu wa ccm? Acha uchawa
 
Kila mmoja atapiga kura kwa mgombea anayeona ana sifa zaidi ya wengine.
Chaguzi zetu nyingi, tunachagua chama, na sio sifa za mgombea, hivyo chama hata kikisimamisha jiwe, jiwe linapita!.
P
 
Salaleh mkwala heavy kusoma tu inabidi ukubali yaishe 🙌🏿
P'se, do understand that right now there's a lot of sh*t going on,, where do you get the sense of satisfaction to even begin joking about it? This is a sad situation for all of us.
 
Asali tamu sana mkuu
 
Hivi paskali hii timu kutoka Sudan iliyoichakaza yanga jina lake linatakwaje. Nakumbika ulipokuwa EA Radio ilikiwa mkali wa kutamka majina ya timu za ulaya.
Ukinisaidia hili tataangazia uchaguzi utakaofanyika hapo kesho kwa kina.
 
P'se, do understand that right now there's a lot of sh*t going on,, where do you get the sense of satisfaction to even begin joking about it? This is a sad situation for all of us.
Lakini si nimekuacha mkuu wacha na mimi nipeleke zawadi kwa ndugu zangu wa mjini kutoka kwa mama

..pigieni kura wapinzani.

..Ccm wameongoza wenyewe toka 2019 na maisha hayana nafuu.

..na Mzee Hafizi aje amchukue tumechokaaa.
 
Lakini si nimekuacha mkuu wacha na mimi nipeleke zawadi kwa ndugu zangu mjiii kutoka kwa mama
Umeniacha bila ya kusikiliza/kusoma 'justification' ya hicho kilicho kufanya uniache? Ilikuwa ni haki yangu kukupa ufafanuzi huo. Ukitaka kuuelewa sawa, kama bado huelewi, hiyo pia ni haki yako.
Lakini sasa nime tosheka kufahamu kwamba unaelewa ninapo simamia. Inatosha.
 
..pigieni kura wapinzani.
Hii ndiyo ingekuwa kazi ya mwisho CHADEMA kuifanya leo. Kuwahimiza watu wao na waTanzania kwa wingi wao wakapige kura kwa wingi kuikataa CCM.
 
Kinachoendelea sasa JF ni husda na majungu zidi ya raisi wetu mpendwa. Yakiongozwa na genge la wahuni moderators wa JF.
 
Watanganyika jiangalieni ninyi na familia zenu.Raia mlio katika nchi za kigeni msiwapoteze chaka watanganyika.
 
Kinachoendelea sasa JF ni husda na majungu zidi ya raisi wetu mpendwa. Yakiongozwa na genge la wahuni moderators wa JF.
Ukweli ni kuwa nilikuelewa toka bandiko lako la kwanza kabisa..., sasa tuendelee na mengine.
 
Huu sasa ni ukunguni na uchawa uliopitiza. Kama maisha yamekushinda sema badala ya kujidhalilisha mwanangu. Shame on you
 
Ukweli ni kuwa nilikuelewa toka bandiko lako la kwanza kabisa..., sasa tuendelee na mengine.
Dah shida sio wewe, Iła mods ni wachawi ujawajua tu.

Watanzania tunaenda na Samia Suluhu Hassan, mengine siada tu,
 
unachukuwa unaweka waaaa
 
Hivi wanao wamo humu JF?
 
BIas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…