Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Namba ni kwa ajili ya mawasiliano. Ukiacha namba yako ni dhahiri umekubali mawasiliano ya aina yoyote ile either kwa texts au calls. Namba yako ni namna ya wao kukufikia wewe.
Hapana, hiyo ni too general.

Kuna watu wanaacha namba kwa sababu ya emergency lakini hawataki kusumbuliwa na matangazo ya biashara.

Wewe umelundika kila kitu pamoja.
 
Dharau tu unazo kwamba hakuna ………..?
 
No CCM hakitegemei dola kusalia madarakani kwasababu CCM ni dola!.
P
Sasa unaposema ni ccm ni chama cha maana unamaanisha nini, badala ya kusema ni chama dola? Tena washukuru bado watu hawajapata akili ya kina John Garang, Savimbi nk. Waendelee kutumia dola kuumiza wapinzani wasio na silaha, siku watu wakipata akili hiyo mtafurahia show. Na kwenye zoezi hilo tutaanza na nyie chawa.
 
Hapana, hiyo ni too general.

Kuna watu wanaacha namba kwa sababu ya emergency lakini hawataki kusumbuliwa na matangazo ya biashara.

Wewe umelundika kila kitu
Hapana, hiyo ni too general.

Kuna watu wanaacha namba kwa sababu ya emergency lakini hawataki kusumbuliwa na matangazo ya biashara.

Wewe umelundika kila kitu pamoja.
Hizo texts wanatumiwa wanachama tu na ni jambo la kichama na ni text moja tu ya kupewa taarifa ya kuchagua wagombea wao kivipi iwe usumbufu?
 
Nilizania mtu kama wewe unaweza pata platform hata BBC AU VOA ila ni hakuna kitu, ni yale yale maisha ya kujikomba,
 
Hizo texts wanatumiwa wanachama tu na ni jambo la kichama na ni text moja tu ya kupewa taarifa ya kuchagua wagombea wao kivipi iwe usumbufu?
Ama hujaelewa hoja yangu, ama unaodogosha makusudi.

Hao wanavhama wametoa ruhusa kutumiwa text?

Kuwa wanachama si kutoa ruhusa kutumiwa text ya kampeni, hata moja.
 
Tutashuhudia uchawi wa msukuma Pascal na mmalila Lucas mkirogana kuhusu anayetakiwa kuwa msemaji rasmi wa Samia.
 
Kwake yeye yote hayo potelea pote muhimu mshiko wa kujaza tumbo lake, "WHOSE LIFE IS IT ANYWAY".
 
Ama hujaelewa hoja yangu, ama unaodogosha makusudi.

Hao wanavhama wametoa ruhusa kutumiwa text?

Kuwa wanachama si kutoa ruhusa kutumiwa text ya kampeni, hata moja.
Acha kuleta mchezo wako wa kucheza na maneno. Ruhusa ipi wakati walijiandikisha kwa ridhaa yao na namba wakatoa ulitaka wawasiliane nao vipi? Hizo texts hawajatumiwa watanzania wote. Na sio texts tu hata wangeamua kuwapigia simu kuwapa hilo dokezo wangefanya ilimradi wawafikie. Tafuta hoja nyingine hii umepuyanga!
 
Ama hujaelewa hoja yangu, ama unaodogosha makusudi.

Hao wanavhama wametoa ruhusa kutumiwa text?

Kuwa wanachama si kutoa ruhusa kutumiwa text ya kampeni, hata moja.
Kama wangekuwa hawataki huo usumbufu basi wasingechagua au kukubali kutoa namba zao ili wasitafutwe kwa namna yoyote ile.
 
Hatuwezi kuelewana kwa sababu tupo katika dunia mbili tofauti.

Mimi nipo katika dunia ya watu wenye individual autonomy na liberty, wewe unaishi kwenye dunia ya watu wasiojua hata uhuru wao wenyewe ni nini.

Wewe huelewi hata consent ni nini.

Hatuwezi kuelewana.
 
Kama wangekuwa hawataki huo usumbufu basi wasingechagua au kukubali kutoa namba zao ili wasitafutwe kwa namna yoyote ile.
Mtu anaweza kutoa namba kama emergency contact, tena kwa voive call tu, lakini hilo halimaanishi karuhusu namba itumiwe text messages za campaign.
 
Ipitishwe tu sheria ya kuviondoa vyama vilivyopo na kuweka mkazo kwa chama kimoja, huku kupotezeana muda na rasilimali kwa propaganda za kidemokrasia uchwara kila leo inakuwa heri jana kuliko leo!
 
Wewe ndiye huelewi. laiti ungejua kujiandikisha na kutoa namba ni sehemu tosha ya hiyo consent unayoongelea. Usichambe sana mkuu utatoka na kinyesi.
 
Wewe ndiye huelewi. laiti ungejua kujiandikisha na kutoa namba ni sehemu tosha ya hiyo consent unayoongelea. Usichambe sana mkuu utatoka na kinyesi.
Kutoa namba si consent ya kutumiwa text messages za campaign. Text message za campaign zinahitaji consent iliyo explicit and unambiguous.

Sheria inataka si tu consent, bali pia mtu akitaka kujiondoa kwenye list ajiondoe muda wowote.

Sasa hizi text zina njia ya kujiondoa?

Soma sheria hapa.

In Tanzania, the "Personal Data Protection Act" (PDPA) governs information consent, requiring individuals to give clear and informed consent before their personal data can be processed, meaning that any collection or use of personal information must be done with the data subject's explicit agreement, and this consent can be withdrawn at any time; this act essentially mandates that consent cannot be considered a mere formality and must be freely given and unambiguous.

Kikubwa ni kwamba sifagilii siasa za kibongo. Nitabakia neutral tu na kesho ni siku ambayo ntaitumia kupumzika zaidi.
 
Mtu anaweza kutoa namba kama emergency contact, tena kwa voive call tu, lakini hilo halimaanishi karuhusu namba itumiwe text messages za campaign.
Muktadha wa kupeana namba na ujumbe wa hiyo text vinawiana kabisa sababu ni mtu na chama chake na wanataratibu zao kama chama, lakini bado maamuzi anayo yeye mwenyewe sababu atapiga kura mwenyewe. Ila hilo ruhusa na usumbufu hapana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…