Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Maneno ya kwenye sms inayotumwa, kama Rais hayakutakiwa kuwa hivyo. Jinsi sms ilivyo, ilibidi aishie kwenye cheo cha mwenyekiti wa CCM, na si Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…