Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maneno ya kwenye sms inayotumwa, kama Rais hayakutakiwa kuwa hivyo. Jinsi sms ilivyo, ilibidi aishie kwenye cheo cha mwenyekiti wa CCM, na si Rais.Wanabodi
Huu ni ujumbe kwa wote waliopokea ujumbe huu siku ya leo
“Habari Ndg. PASCAL ANDREW MAYALLA,
Mimi Samia Suluhu Hassan, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa JMT.
Kwa heshima napenda kukumbusha kesho tarehe 27 Novemba, 2024 kujitokeza kupiga kura kuchagua viongozi wa serikali za mitaa wanaotokana na CCM.
Chagua CCM ili tuendelee kukuletea maendeleo hadi mlangoni kwako, Asante.”
Ujumbe huu usambaze kwa watu wako wote na kuwakumbusha kuwa kesho kazi ni moja tuu, ni unachukua..., unaweka...
Japo watu wako huru kuchagua wagombea kutoka chama chochote, lakini kwa muktadha wa siasa za Tanzania, japo nchi yetu inafuata mfumo wa vyama vingi vya siasa, lakini ukweli wa vyama kwa maana ya vyama, Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa, the one and only, hivyo kazi ya kesho ni kazi moja tuu, kukichagua, kwa kuchagua wagombea wake.
Laiti Tanzania tungekuwa na vyama vingi kweli, na sio hivi vyama vingi jina, ningewashauri watu wawachague wagombea wa vyama vyovyote, kwa kufanya an informed decisions to chose with choices, but very unfortunately, we dont have choices to chose from, kwa vile chama kwa maana ya chama ni chama kimoja tuu, then kesho, twendeni tuu kupiga kura na tukichague!.
Nawatakia uchaguzi mwema.
Paskali.
Tumuombee aseeIn nutshell Pascal Mayalla ni tapeli. Hiyo wala huhitaji kujiuliza mara mbili. Hata yeye mwenye anajua.
Ndiyo hawa akina PaschalKuna wa tanzania wengi tu waishi ulaya na America kama digidigi tu mkuu🤔