Ukishafika umri wa 35+ kuna sehemu za starehe achana nazo

Ushafika bro ila bado kidogo πŸ˜‚πŸ˜‚
Nifike mara ngapi?Na vile naonekana kijana hakuna hata makunyanzi usoni nikidanganya nina 26-29 utaamini kabisa. . .!
Nitafutie kakiwanja niporomoshe kilabu nilewe sasa.
 
Yaani 35+ ushindwe kumridhisha basi utakuwa kagonjwa!
 
Ni Bongo tu ndiko ambapo jamii inalazimisha watu starehe kwa sababu ya umri.
Hii ni kweli, njoo Zanzibar uone vibabu vya Kizungu vimepiga pensi plus tishirt, Raba kali , kofia plus cheni.Ulizia muda anaoingia! Saa saba usiku.

Kuna siku natoka ananiambia mbona unaondoka mapema! Saa sita usiku hiyo! Mbona hujui kufanya starehe?? Mzee yupo 70s!
 
Hahaha! Ila ni kweli eti! Wazee inatakiwa viglocery vya mtaani ambavyo havina mkusanyiko wa vijana wengi wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…