Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Ukishuka Airport Dar ukapita barabara kuu unaona jinsi nchi na watu wake walivyochoka. Viongozi mnafeli wapi?

Nchi imechoka sana hii, mleta mada yupo sahihi 100%
Nchi za wenzetu katika kila eneo linakukaribisha mji mkubwa linaitwa “Gateway District”
Hapo kumejaa mahoteli makubwa yanayopendezesha na kumkaribisha mji kwa wageni.

1722378810119.png
 
Lucas ndio mwenye dhamana ya kujenga hii Nchi na nyie mnakuwa mnafanya nini?

Kwanza mipango ya Nchi hii Huwa haiko coercive yaani ni Bora liende.Mfano unakuta mtu anajua hii ni Barabara anatakiwa asimike Bomba za maji ila hafuati usahihi unatakiwa ndio maana unakuta mradi ukianzanaanza kuingia gharama zingine za kuhamishwa miundombinu ambayo ilitakiwa kuwa imewekwa sehemu inapostahili ila hawakufanya hivyo.
Lucas Mwashambwa ni mtetezi wa kila upuuzi unaofanywa na serikali hii ni chawa mwandamizi wa Samia.
 
nakaa hapahapa, ila picha halisi ya watanzania unaipata dar, hasa wale wanaotembea kwa mguu, wale wanaogombania bus, wale wanaosubiri mabasi kituoni, wale waliolowa jasho njiani, jinsi walivyona mawazo, sura zimechoka, sura hazina matumaini, sura hazina furaha zimejaa hasira. usiangalie wale wanaoendesha magari, hapo utagundua nchi hii watu wengi hawana furaha na serikali ina kazi kubwa kuweka sera zitakazoinua uchumi watu wapate Furaha.
Sisi wenyewe wenye nchi tunakuogopa huku kwetu, je wageni??? Daaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Vyoo vya vyuo vikuu nimetumia Sana,wewe ilibahatika kutumia vyoo vya umma vya makaburu?..nimetazama Sana snakes in the city south Africa,nyumba za makaburu chafu tu,mmoja aligongwa na Kobra kwenye govi lake,Kobra alipenya kupitia Bomba la mavi lililopasuka
Ulishafika huko wakati ule au umeona video tu?
 
Mkuu ukiwa kama mtanzania unayeishi kwenye nchi iliyochoka umefanya jitihada gani ili kuwasaidia Watanzania wenzio kuondoka hapo barabarani?,Je waache kufanya biashara za kuwaingizia kipato?

Je,Kuchoka Kwa nchi hii ni kabla ya wewe kwenda ughaibuni au baada ya kutoka ughaibuni?

Ok,Umetoka Ughaibuni,umekuja na jambo gani jipya la kuisaidia nchi kuondoka na Hali hiyo iliyokukera?


Anyway

Hongera Kwa kupanda ndege mkuu
Maswali yako hayana mantiki yoyote.
Mwenzako anakufungua macho uone jinsi gani hela zinavyotafunwa na wachache bila maendeleo ya maana sasa unamgeukia yeye kwa maswali hayo kwa hiyo unataka achukue mshahara wake aanze kugawa mitaani kwa Watanzania wote wenye shida?
 
Kuhusu watu kuchoka ukute wana Afya kukuzidi wewe.
Nadhani ungejikita kwenye miundombinu na uongozi mbovu sio kusema Afya za watu.
Au unadhan kuwa na tumbo kubwa ndio afya
Hujaelewa ndugu.
Mtu mwenye maisha mazuri hata akiwa mwembamba anajulikana tu kuna nuru fulani anakuwa nayo tofauti na mtu aliyepigika na maisha kisha akakonda ni vitu viwili tofauti.
 
"Tuliwakataa, tuliwatenga na kuwaengua kabisa Watu weusi kwenye Mchakato wa maendeleo ya nchi na ujenzi wake kwa sababu HAWANA AKILI NZURI. Endapo kama tungewajumuisha, basi wangetuharibia mambo yetu mazuri yaliyopo Afrika ya Kusini leo hii."

Pieter W. Botha, Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini enzi za ubaguzi wa rangi.


Nafikiri umeelewa Sasa kwa nini Makaburu walifanya hayo uliyolalamikia kwenye comment yako.
Kwenye mchakato wa kimaendeleo watu weusi huwa hawafuati plans/targets zilizowekwa wao huwa wanawaza kuiba tu alimbikizie tumbo lake bila kujali mustakabali wa wengine.
Kwa hapo wala simpingi
 
Hata ukienda mkoani tu, ukakaa muda fulani, kukirudi dsm unaona namna raia barabarani wanavyotembea wakiwa wamechoka, wamejaa mawazo,wamekata tamaa, wana sura za umasikini na hasira, joto daladala dart everything, ni kwamba wamevurugwa mbaya. na ukitaka kuwafahamu vizuri mchokoze mmoja uone hasira atakazomalizia kwako.
😂😂
 
Mikoa mingi tanzania hata ukienda vijijini huko utakuta watu japo ni masikini lakini wana nyuso za furaha zilizojaa matumaini. Yaani utaona nyuso angavu.

Njoo dar sasa. Kila unaemuangalia usoni yaani ni amejichokea, anaonekana amekata tamaa, ana hasira, kakunja sura. Kila mtu kakaa kishari shari utadhani yuko vitani huko south sudan.
Sababu kubwa inasababishwa na utofauti wa lifestyles kati ya Dar na mikoani.
Dar kila kitu kinahitaji pesa wakati mikoani vitu vingi ni bure na hata vinavyouzwa bei yake ni chee kitu ambacho inasaidia wengi kumudu.
Ila dar kila kitu ni expensive kuanzia mahali pa kulala,vyakula,usafiri pamoja na starehe zote ni gharama sasa kwa mtu asiye na kazi rasmi inamvuruga anajikuta kila siku malengo yake hayatimii na familia inampelekesha hawataki kujua hilo wanataka huduma na hapo ndipo makasiriko yanapoanza kuja unamuona kila mtu anayekatiza mbele yako ni mchawi
 
Kumbbuka: Kwenye nchi yoyote ile hapa duniani ambayo Ina Utawala wa kidikteta au Utawala wenye itikadi ya Ukomunisti au Ujamaa, Wasomi na Watu wengine wenye akili na elimu kubwa huwa wanahesabika kuwa ni Maadui wakubwa zaidi wa Utawala uliopo madarakani.
Usithubutu hata kidogo kutaka kuleta idea, fikra au mawazo yako mapya kwenye nchi yoyote ile yenye Utawala wa namna hiyo, utapotezwa ndani ya muda mfupi kabisa, utahamishwa kutoka kwenye Sayari hii ya Dunia haraka sana bila kuchelewa. Take care!
Yeah uko sahihi.
Mfano mzuri Tundulisu miaka ile alinusurika kidogo tu kupotezwa na wasiojulikana
 
Angeenda kujenga kwao uholanzi,kiliwapeleka kipi hapo?..walipofika hawakukuta social order?!
Kwa sababu Africa tumejaaliwa rasilimali ila hatujui kuzitumia ndio maana wanakuja.
Ulaya walikosa rasilimali ila wamejaaliwa akili na uono kwa hiyo lazima wataendelea kuja hadi siku tutakapopata uono wa kulingana nao na hiyo itachukua karne nyingi sana hadi tuje kulingana nao kimtazamo.
 
Ukiwa unatoka China, Dubai, Ulaya au nchi nyingine zilizoendelea utatamani kulia wakati ndo ndege inaanza kuingia Dar. Unajiona kabisa umerudi kwenye kupigika hata kama una hela.
Naisubiria kwa hamu hii siku nione pakoje nikifika kwenye hili eneo
 
Utafika uliofanyika Kenya Unaonesha watu wa countryside wanatajirika kuliko walioko Miji mikubwa,the likes na hapa Tanzania na Dar yenu.

Kwa Sasa kijjaa wa Mkoani anaelima ana nafasi ya kuwa na maisha mazuri kuliko wa Dar na ndio maana Miji ya Mikoani hakuna mabanda kama ya huko Dar 😆😆😆😆😆
Huo utafiti uchwara, professorial rubbish.
Umaskini katika nchi zote za Africa Mashariki umejikita vijijini zaidi kuliko mjini, nyumba za udongo/tembe ziko vijijini.
Utapiamlo na unyafuzi hapa Tanzania umejikita kwenye mikoa ya vijijini.
Kote duniani majiji yawakilisha fursa za kila aina kwa kila kundi, sio kila mtu anataka kulima.
 
Huo utafiti uchwara, professorial rubbish.
Umaskini katika nchi zote za Africa Mashariki umejikita vijijini zaidi kuliko mjini, nyumba za udongo/tembe ziko vijijini.
Utapiamlo na unyafuzi hapa Tanzania umejikita kwenye mikoa ya vijijini.
Kote duniani majiji yawakilisha fursa za kila aina kwa kila kundi, sio kila mtu anataka kulima.
Jidanganye ,endelea kukaa kwenye mabanda huko Mjini ukijifariji.
 
Back
Top Bottom