Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Acha uongo mkuu,wastani wa nyumba ya Mil 50 inakupa return ya laki tatu kwa mwezi..na kuna kipindi hyo nyumba itakosa mpangaji...lakini ukiweka bond una uhakika wa laki 5 kila mwezi..bila kusumbuana na wapangaji
Nyumba mbili Dodoma wastani wa gharama kwa nyumba ni 75M
Kodi kwa nyumba ni 500,000 kwa mwezi

Baada ya miaka 10 utapewa 75 M ya bond kama ulivyo iweka
Baada ya miaka 10 nahakika nyumba zitakua zime double kama sio triple price

Kupanga ni kuchagua mkuu
 
Awapi
 
Je hizo nyumba zitakuwa zimerudisha pesa uliyojengea kwa miaka 10?
 
Jenga nyumba ya milion 50 yakupanga afu uone itakupa Gawio la TSH ngapi kwa mwezi na mpaka urudishe hiyo hela uliyotumia kujengea ndio upate faida nilini
Mkuu tofauti ya nyumba ya biashara na bond ni hii

Baada ya miaka labda 20 bond yako itakua na thamani ileile ya M50
Lakini baada ya miaka hiyo nyumba itakua na dhamani mara mbili au tatu ya thamani ya uwekezaji
 
Je hizo nyumba zitakuwa zimerudisha pesa uliyojengea kwa miaka 10?
Mkuu hizi biashara sio kama biashara za kuuza bidhaa ambazo unapigana kurudisha gharama kulinda mtaji na faida
Biashara hizi Mtaji wako upo pale pale hauguswi ila unazalisha faida tu...... na ndio maana return yake ni ndogo

Kwa msingi huo ndio maana nikakwambia ukiweka bond yako ya M100 baada ya miaka 10 utakua na hiyo hiyo M100
Lakini nyumba yangu ya M100 baada ya miaka 10 itakua na thamani maradufu
 
Mkuu tofauti ya nyumba ya biashara na bond ni hii

Baada ya miaka labda 20 bond yako itakua na thamani ileile ya M50
Lakini baada ya miaka hiyo nyumba itakua na dhamani mara mbili au tatu ya thamani ya uwekezaji
Tuongelee faida ya hiyo Bondi ambayo kwa Mwaka inakupa zaidi ya milion 6 X20 = 120M +Mtaji 50M =170 hapo bado hatujaongelea Faida inatotokana na 120M kwa mwaka let say tuchukue 60M ya miaka 10 ya mwanzo +50M ya mtaji wa awali = 110M ambayo itazaa faida ya 12M kwa mwaka ndani ya miaka 10= 120M ukijumlisha utakuta 180M ukiweka na miaka 10 ya mtaji huo utakuta Bond ya 50M kwa rate ya maximum 15% kwa miaka 20 utakuta 200M ambayo utakuwa umeipata. Ukijenga nyumba Leo kwa miaka 20 ijayo inaweza kukuingizia Milion 200? Je hutairepea?
 
Mkuu hizi biashara sio kama biashara za kuuza bidhaa ambazo unapigana kurudisha gharama kulinda mtaji na faida
Biashara hizi Mtaji wako upo pale pale hauguswi ila unazalisha faida tu...... na ndio maana return yake ni ndogo

Kwa msingi huo ndio maana nikakwambia ukiweka bond yako ya M100 baada ya miaka 10 utakua na hiyo hiyo M100
Lakini nyumba yangu ya M100 baada ya miaka 10 itakua na thamani maradufu
Nyumba hazina thamani,kiwanja ndo chenye thamani siku zote. Ndo maana wenye hela wananunua hyo unayo ita nyumba yenye thamani na kuipigq chini na kunyanyua ghorofa. Wekeza kwenye viwanja,ila siyo nyumba ya kupangisha..vinginevyo jenga lodge za biashara
 
Mkuu hizi biashara sio kama biashara za kuuza bidhaa ambazo unapigana kurudisha gharama kulinda mtaji na faida
Biashara hizi Mtaji wako upo pale pale hauguswi ila unazalisha faida tu...... na ndio maana return yake ni ndogo

Kwa msingi huo ndio maana nikakwambia ukiweka bond yako ya M100 baada ya miaka 10 utakua na hiyo hiyo M100
Lakini nyumba yangu ya M100 baada ya miaka 10 itakua na thamani maradufu
Ukumbuke Mimi kwa Mwaka nakunja zaidi Milion 12 , so kwa miaka 10 nitakuwa na Milion zaidi 250M wewe hiyo nyumba utaiuza kwenye 200M utakuta nakuzidi tu
 
Mkuu twende sawa kidogo
Twende na hesabu rahisi za makaratasini kama za mamotivesheni spika 😂

Nyumba imegharimu 75M
Kodi kwa mwezi 500,000
Kodi kwa mwaka 6,000,000
Baada ya 10yrs nitakua nimepata 60,000,000 na nyumba yangu ya 75M itakua labda ime double price

Nipe mchanganuo wako kwa 75M baada ya miaka 10 mkuu
 
Nimeshachanganua hapo kwa miaka hiyo 10 nitakuwa na zaidi ya milion 250 ambayo wewe huwezi kuifikia kwa wakati huo
 
Back
Top Bottom