Ukisikia kujilipua ndo huku. Ml 60 hisa za CRDB bank, liwalo na liwe!

Kuna wachaga walikuwa na maduka kariakoo na majengo. Waliuza wakakimbiza hela kwenye bonds kipindi kile cha Magu. They are living the best life ever hamna TRA wala usumbufu wa aina yeyote toka serikalini 🤣 mtu katumbukiza 7B kwenye Bonds imagine anakusanya bei gani kila mwaka.
 
Dah ukiwa Tajiri pesa zinakutafuta walah mfano udumbukizemo ka trilioni kamoja 😂😂😂
 
Ngoja tukuwekee na picha uelewe vizuri nguvu ya compound interest ama faida jumuishi. Initial capital ni milioni 75 kwa muda wa miaka 10 kwa interest ya 12%
View attachment 3093260
Mtoa mada akiona hii, anaweza kurudi UTT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…