Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.

Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.

JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.

Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.

SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
 
JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
Ndiyo maana serikali inawakomesha kwa kuruhusu mfumuko wa bei na kuhakikisha umeme unakuwa wa mgao ili mijitu ka wewe utaabike. Acha kabisa viongozi waibe na kijineemesha maana siku wakitoka madarakani jitu ka wewe utaaanza kuwacheka hahaha ila wakiwa na hela utaendelea kuwa mtumwa wao maana utajisogeza kusifia ili japo upate msosi na hii itaendelea kizazi na kizazi
 
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.

Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.

JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.

Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.

SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.

Hotuba za Meko ni kiboko.. Zilijaa authority.

Hapa upwani mwingi umwinyi mwingi.. pyuu
 
Lile ghorofa la Makonda alilokuwa anagombea na gsm alilipata wakati wa utawala wa nani? Yale magari ya kuzulumu? Sabaya je? Ditto James? Mfugale? Wakulima wa korosho? Tenda za kununua ndege? Kaa kimya, usiwe kama zuzu
 
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana

..hawa vijana wanapenda hotuba za kiongozi kuuliza " wanawake mnataka KUPANULIWA wapi..."
 
Hotuba za Meko ni kiboko.. Zilijaa authority.

Hapa upwani mwingi umwinyi mwingi.. pyuu
Niko hapa nasikiliza hotuba ya ufunguzi wa bunge ya 2015..hakika mwamba alikuwa mwamba.

1669121819001.png
 
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.

Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.

JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.

Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.

SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
Akisifiwa Jpma ni sawa akisifiwa Samia mnaona nongwa
 
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Well
 
Back
Top Bottom