voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Mpaka sasa CCM inatembelea nyota ya Magufuli,huyo mnayemdharau!JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
Mama yako anatembelea nyota ya Magufuli.
Wana CCM hamna shukurani mpo kama ma m**a fulani hivi.
Miradi yenye Tija na inayoonekana nchini ni ya JPM!
Kuanzia Ndege,Helikopta za Jeshi,Masoko ya kisasa,Stand za kisasa,Madaraja kama wami na Tanzanite la Dar es Salaam, Bwawa la Nyerere,SGR, Meli mpya Lake victoriana Lake Nyasa,na hata Uwanja wa Chato ambao ki Usalama ndio unapaswa kuwa uwanja salama zaidi kwa wana Kagera.
Mifumo mipya na ya pamoja ya ulipaji serikalini,alipunguza Matumizi ya ovyo ya serikali,alipunguza vyeti feki kama chiembe
Aliondoa watumishi Hewa!
Alikomesha hujuma za Tanesco!
Alilifufua shirika la Reli!
Aliwaweka Mafisadi wa CCM kushoto na chama kikawa ahueni kwa wanyonge!
Sasa mmerudi kwa kasi ya 4G na CCM itawafia mikononi!
Time will TelllView attachment 2424636