Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

Ukisikiliza Hotuba za Samia ukalinganisha na Mwendazake utagundua uongozi ni karama

Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.

Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.

JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.

Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.

SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
Kama Keri zipi alizokuwa anasikiliza huyo jpm wako?

Ni karama kweli ndio maana Mwendazake alikuwa anafoka foka hovyo huku Mambo hayaendi..

Wananchi anaowatumia Rais Ni Wabunge na sio wale Wananchi wa Mchongo wa kupeana mahindi and such upuuzi.
 
Rais anakazi gani sasa.. na hili mkalitazame.

Dar haina maji miezi miwili sasa. Umeme ndo usiseme.. bando halijulikani bei..kila siki ninapanda tu.
Huyu Samia ana chini ya miaka miwili tangu awe Rais, JPM kakaa miaka 6, hana alichofanya
 
Teh! Tehe!

Doh! Huyu kafanya lipi!? Tozo, siyo?

IMG_0865.jpg
 
Lile ghorofa la Makonda alilokuwa anagombea na gsm alilipata wakati wa utawala wa nani? Yale magari ya kuzulumu? Sabaya je? Ditto James? Mfugale? Wakulima wa korosho? Tenda za kununua ndege ?....Kaa kimya, usiwe kama zuzu
Kamata zote ziende Serikalini, si hayupo? Unaogopa nini?

Wenzake washawahi kuwa na Richimond, dowans, n.k

Wewe unazungumizi vkijumba tena kimoja? We kweli chawa!
 
Lile ghorofa la Makonda alilokuwa anagombea na gsm alilipata wakati wa utawala wa nani? Yale magari ya kuzulumu? Sabaya je? Ditto James? Mfugale? Wakulima wa korosho? Tenda za kununua ndege ?....Kaa kimya, usiwe kama zuzu
Ukitaka tutaje ya awamu hii sema
 
Jamii iliyokuwa imeharibika bado inataka mtu wa matusi kwenye jukwaa.
Hotuba za kiwerevu ndiyo zipi? Zile za kusema "Baki na mavi yako nyumbani"? Ndiyo mnataka?

Uwezo wenu wa kufikiri umeathiriwa na dikteta wa Chato. Go to hell as well
Mpumbavu wewe! Ina maana mgao wa umeme hauoni? Mgao wa maji? Unadhani wananchi hawastahili majibu kuhusu bidhaa kupanda bei? Unaongea ujinga wako hapa
 
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Haupigi watu risasi lakini masikini wanakufa njaa na watu wanakufa kwa kukosa madawa kwa upuuzi na uzembe wako! Hauongei kwa kufoka lakini pesa ambazo zingeenda kuokoa maisha ya wagonjwa muhimbili zinaliwa na laana yao ni juu yako! Unaongea Ujinga gani?
 
Maji hayatoki na umeme hakuna lakini tunaishi kwa amani na hakuna mtu amekufa including wewe JF Member

Endelea kuungua na moto Magufuli
Mlamba asali mwandamizi.. umeamka. Nauli mmepandisha, TOZO mkaweka.. bado mambo hayaendi. Hata umeme mmechukua.. watu wanakufa kwa kukosa huduma mhimu.. mtu anaenda hospital kufanyiwa operation unakuta umeme hakuna na Maji hakuna.
 
Back
Top Bottom