Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chakufahamu zaidi ni Kwamba Wanawake bado sana kwenye uongoziHizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.
Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.
SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
[emoji1787]Hiyo ndiyo mirindimo yenyewe ya pwani babu[emoji108]🤌
Ndo maana mnashindwa kuongoza nchi mnaiacha tu ikupeleke.. mnaanza kusongizia Mungu kila kitu.Huyu Samia ana chini ya miaka miwili tangu awe Rais, JPM kakaa miaka 6, hana alichofanya
Wewe mtoto si rizikiJPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
Haya huo unyororo wa sauti ya mama yako nchi inakwrnda komboKuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Wewe ni mtoto riziki, endelea kuliwaWewe mtoto si riziki
A populist president akiwa na utayari wa kufanya lolote ili apendwe.JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
AnazinguaMbona mama anaandamwa hivi jamani? Ukiwa kiongozi yakupasa uwe na ngozi ngumu na uvumilivu wa hali ya juu, vinginevyo utajikuta umekuwa dikteta wakati mwingine bila kupenda.
Kuna raia wao kazi yao ni kuponda tu. Ufanye vibaya utasakamwa tu, ukifanya pia hautanusurika kusakamwa!
Kwani vyeti feki hamjalipwa bado?JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
Nakazia "MWEUPE PEEE, PEEE, PEEE".Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.
Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.
SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
Ivi ni chanzo kipi cha maji ambacho alianzisha jiwe na samia akakihujumu ili tumhukumu kwa uzembe?? Jiji la dar miaka yote najua chanzo cha maji ni Ruvu, last week nilipita pale nilikuta mto ule hauna maji(ktk miaka yangu karibu 30 tangu nipite pale mara ya kwanza mwaka 1994 sijawahi kukuta ule mto umekauka). Sasa samia anahusikaje na kukauka kwa mto? Nyie sifieni ujinga tu, subirini muone Rufiji itakavyokuwa 3-5 years to come,Rais anakazi gani sasa.. na hili mkalitazame.
Dar haina maji miezi miwili sasa. Umeme ndo usiseme.. bando halijulikani bei..kila siki ninapanda tu.
Karama?Karama ipi?Au maana ya karama ilirekebishwa bila taarifa?Karama ni kuongea kwa kufoka,kutukana,kudhalilisha,pupa,kujikweza na kutoa vitisho?Kuna tatizo sehemu katika kutafsiri mambo au kumuelewa mtu ili akidhi kundi limfaalo.Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.
Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.
SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
Ukweli ni huu:JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana