Hiyo ndiyo mirindimo yenyewe ya pwani babu👌🤌Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
Kama atafika huko. Miaka mitatu mingi sana.Huyu maza kama ana akili, asigombee 2025...ntamuheshimu
Ndiyo maana serikali inawakomesha kwa kuruhusu mfumuko wa bei na kuhakikisha umeme unakuwa wa mgao ili mijitu ka wewe utaabike. Acha kabisa viongozi waibe na kijineemesha maana siku wakitoka madarakani jitu ka wewe utaaanza kuwacheka hahaha ila wakiwa na hela utaendelea kuwa mtumwa wao maana utajisogeza kusifia ili japo upate msosi na hii itaendelea kizazi na kizaziJPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
Chinembe a.k.a mlamba asali mwandamizi, unaumia sana ukiona mama yako ana underperform.JPM alikuwa populist, propaganda nyingi, lakini hamna lolote la maana
Nchi ni taasisi, ulitaka akabebe zege kule SGR? Afokefoke kama yule chizi?Chinembe a.k.a mlamba asali mwandamizi, unaumia sana ukiona mama yako ana underperform.
Mshauri tu aongoze nchi sio kuacha nchi ijiongoze huku mambo yakienda mlama.
Hizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.
Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.
SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
Lile ghorofa la Makonda alilokuwa anagombea na gsm alilipata wakati wa utawala wa nani? Yale magari ya kuzulumu? Sabaya je? Ditto James? Mfugale? Wakulima wa korosho? Tenda za kununua ndege? Kaa kimya, usiwe kama zuzuNdiyo maana serikali inawakomesha kwa kuruhusu mfumuko wa bei na kuhakikisha umeme unakuwa wa mgao ili mijitu ka wewe utaabike. Acha kabisa viongozi waibe na kijineemesha maana siku wakitoka madarakani jitu ka wewe utaaanza kuwacheka hahaha ila wakiwa na hela utaendelea kuwa mtumwa wao maana utajisogeza kusifia ili japo upate msosi na hii itaendelea kizazi na kizazi
Kuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana
Akisifiwa Jpma ni sawa akisifiwa Samia mnaona nongwaHizi Ziara za Samia zinawaacha wananchi wakiwa wamekata tamaa tu.
Kwanza anawapandisha wapiga pambio tu, wanamsifia mda wote as if wananchi alosimama nao hawana changamoto.
JPM alikuwa anasikiliza wananchi na kelo zao kisha anatoa maelekezo kwa wasaidizi wake. Ziara za JPM zilikuwa na watazamani mamilioni.
Leo ziara ya samia imejazwa na mabango ya wakulima ili kumjibu bashiru.
SAMIA shituka, huku unakotoka wananchi wanabaki wanakuona mweupe peee.
Kama mwanadamu alizidi ubabe lakin alikuwa na Authirty na alikuwa na karama ya kuongoza watu weusiNiko hapa nasikiliza hotuba ya ufunguzi wa bunge ya 2015..hakika mwamba alikuwa mwamba.
View attachment 2424159
WellKuwa Rais Taifa hili la wajuaji na wapigaji ...bila kupiga watu risasi wala kuteka wala kuzuia Bunge live...wala kuongea bila kufoka foka na kuwatishia watu na kufungia magazeti ....basi hapo Mungu kakupa karama kubwa Sana