Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Ndugu yangu akuna kitu kigumu kama kupata waumini

Wengi humu mnapenda sana kuongea kama hamna akili vichwani ila ukwel ni kwamba akuna kazi ngumu kama kupata waumini

Unaweza wachukulia poa sana hawa wachungaji wakubwa km kina mwamposa joe david na wengneo ila wametoka mbali sana hao waumini unao waona leo wamewatengeneza kwa muda mrefu sana na kwa nguvu kubwa sana

Usione leo hii wanawaibia kwa urahisi waumini wao ukazani ni kazi rahis aisee ni kaz sana wamefanya adi leo hii unawaona wanapiga pesa kirahisi

Tuwaheshimu sana hawa wachengaji ndio wanawaibia waumini wao ila jua wametumia nguvu na muda mwingi sana adi leo hii kuaminiwa na waumini wao

Asante
 
Kabisa, ni masikitiko ila haya yote yamesababishwa na fucking serikali ya ccm
 
Tumshukuru Mwamposa anawapa watu wetu matumaini! Umati huo mkubwa wa watu usipokuwa na majibu ya maisha yao nchi haitatawalika hii.
 
Kama hujawahi fika kwa mwamposa lazima utabisha,ila nikuombe fanya research,katembelee ujionee watu na mabegi yao na waulize wametoka wapi.
Wapo ila sio kwa idadi kubwa kuliko wakaazi wa huko Dar na ndio maana kuna makanisa mengine mengi ya aina hiyo. Ingekuwa waumini wengi wajinga wanatoka mikoani basi hayo makanisa wangekuwa wanajenga mkoani dodoma katikati ya TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…