Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

Njaa mbaya sana na masikini ya mungu wengi wao ni wale wa jinsia ileeeee wamechokaaaaaa eti wanaenda kwenye mikesha yaani inatia hasira sana watu wana njaa wanaumwa hawana matumaini yaani wengi wao ni wa kuonea huruma tu, ila kwakuwa ndio maisha waliyochagua basi sawa waendelee kupigwa tu.
 
Watu wanadhaniaga kuanzisha kanisa ni rahisi. Ingekuwa rahisi hata waislam wangeiga kwenye daawa zao ila wameshindwa hata walivyojaribu hawakupata muitikio mkubwa
 
Njaa mbaya sana na masikini ya mungu wengi wao ni wale wa jinsia ileeeee wamechokaaaaaa eti wanaenda kwenye mikesha yaani inatia hasira sana watu wana njaa wanaumwa hawana matumaini yaani wengi wao ni wa kuonea huruma tu, ila kwakuwa ndio maisha waliyochagua basi sawa waendelee kupigwa tu.
sasa kama wameona hapo ni kwa kutua mizigo yao wafanyaje?
 
Sana sana Dar es salaam ndiko yalikojaa majinga.Sisi huku mikoani wachungaji matapeli wamebaki na makanisa yao ya mabati miaka na miaka.
Kweli nakubaliana nawewe

Kuna kanisa la Mungu wa bendera hapa jirani huu ni mwaka wa 8 Ni boma tupu na alianzisha mwenyewe Kwa hela zake! Hadi Leo wanasalia kwenye mabati
 
View attachment 3642348View attachment 3642349View attachment 3642350

Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani.

Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata tamaa na kuhitaji uponyaji, si wa kiroho bali kiuchumi. Wanajaa hapa kupata maneno ya matumaini!
Sisi wakristo Mungu wetu Yesu ametunyima Maarifa na kutujaza Ujinga uliotukuka.
 
Nime respect uhuru wako wa mawazo wala sijakufokea. Ila nimegundua kumbe wewe ni empty set tu
Hapo unakuwa umekanusha sentensi ya kwanza ambayo ni sahihi. Bora ungeanza na ya pili ukamalizia na ya kwanza ingekaa kitaalam zaidi. Najaribu kukuelimisha mkuu
 
Mpaka nitakapomuona kiwete niliyekuwa namfahamu mtaani kwangu ametupa magongo na kutembea nsipo nitaamini. Lakini hao wagonjwa wa kupangwa bado hujanisahwishi
Mimi siko hapa kukushawishi. Ila matatizo ndio yatakutuma kwenda ama laa! Watu hawaendi kujifurahisha watu wanaenda kwa juhudu za kutatua shida na matatizo yao. Mbona hospitali husemi siku ukisia mtu amepona ukimwi ndio utaenda😃🤣 au kwa mganga mbona husemi kama kila mtu anayeenda ndio ata kuwa tajiri ... unajua ukiwa na mataizo haya ya kawida yanayotatulika hospitali au vinginevyo unaweza kuwaona hao watu ni wajinga kabisa,, siku umejaribu kila njia ikashindikana na kuvumilia huwezi utaanza kufikiria hizo sehemu
 
Ujinga unasababishwa na sisi wenyewe kwa kutokusoma neno la Mungu kujua anatuambia nini.Neno linasema tuutafute ufalme wake kwanza ili tupate mambo mengine sawasawa na mapenzi yake. Kwanzisha makanisa kwa lengo LA kujitajirisha ni utapeli pia.Tumwombee mwamposa a focus namna ya kuwashawishi watu kuutafuta ufalme wa Mungu kwanza.
 
Imagne mtu anaambiwa/ombewa na nabii hivi-: "kwanzia mwezi ujao, utakula chapati nzito na chai ya maziwa"
Muumin anajibu "NAPOKEA"

najiuliza sasa hyo chai nzito utaipata bila kujishughurisha??
na kila siku vijana na KWAYA na wadada wamama hufunga biashara waende kweny kwaya, mikutano ama ibaada za katikati.
 
View attachment 3642348View attachment 3642349View attachment 3642350

Ukiona watu wengi hivi ujuwe umasikini ni mkubwa sana, pia elimu ni duni katika jamii. Ibada za kijinga kabisa kuhusu miujiza, ni utapeli kutumia shida na ujinga wawatu kama fursa hadharani.

Tungekuwa na Serikali inayojali, ingetafakari ni wananchi wa kiasi gani walio katika hali ya kukata tamaa na kuhitaji uponyaji, si wa kiroho bali kiuchumi. Wanajaa hapa kupata maneno ya matumaini!
Uwe na mtaji wa 30m atleast, pia inabidi dedication ya miaka mitano kujifunza bible knowledge.. Kuna vitabu vingi na maarifa mengi then ukianzisha una take over


Usione vinaelea ndugu yangu ujue vimeundwa


It takes time kaka😁😀
 
... kuthibitisha kuwa wanamchukulia kuwa ni mganga, hapo mpaka Kobaz kibao tu wapo!
😅
Mwamposa ni creature wa pekeake pale kawe binafsi Huwa napa heshimu sana

Sisi wengine hatunaga chale Wala mambo ya uganga nikihitaji chochote Huwa naenda.

Huwa naenda kwenye like kundi la KUPELEKA injili natoa SADAKA madhabahuni tunamwagiwa maji ya baraka mzee Huwa nafanikiwa double double
 
Mpaka nitakapomuona kiwete niliyekuwa namfahamu mtaani kwangu ametupa magongo na kutembea nsipo nitaamini. Lakini hao wagonjwa wa kupangwa bado hujanisahwishi
... anaweza kubaki na magongo kwa muonekano wa nje, ilkhali kwa ndani AMEISHAYATUPA! ... FOR THOSE REALLY BLESSED THEY GET IT SPIRITUALLY AND INTERNALLY!
 
Back
Top Bottom