Ukitaka hela za haraka fungua kanisa kuna majinga mengi; kinachoendelea Kawe kwa Mwamposa kinasikitisha

We mwenyewe kapuku fukara una nini? Acha arrogance wakati huna lolote la maana waache kila moja afanye kinachomfaa
Kapuku ni wewe unayeamini utamiliki gari kwa maneno ya Mwamposa. Kafanye kazi kenge mzee wewe
 
Ndiyo ukauziwe udongo kwa Tsh 10,000? Munarndekeza ujinga tu
 
Lakini elimu zao sio duni! Au mwenye degree akienda kwa mwamposa tiyari ana elimu duni!? Kipimo cha elimu Bora ni kipi
Kipimo cha elimu ni uwezo wa kuchanganua mazingira yanayokuhusu. Kutofautisha ukweli na uwongo
 
kwanini uwasemee watu walochagua upande wao?, ni kwamba haujui watu wote hatuwezi kufanana kiakili na kimtazamo,, istoshe haya maneno ya utapeli hayajaanza kusemwa leo mbona bado wanajazana?
Kwa sababu wajinga ni wengi na wanazaliwa na kufa kila leo
 
Point kubwa sana hii. Yaliwahi nikuta.
 
Kwamba hata kama Mwamposa angekuwa anaweza kweli kutibu kansa ndio ocean road wangemruhusu kufanyia maombi wagonjwa ili wapone kansa?
 
Kwanini unasisitiza nianzishe utapeli?
Unaona kama mwamposa ana enjoy sana that's why...


Hujui nyuma ya huduma yake Kuna sacrifice ngapii jamaa alifanya

Not easy 😞

Kama ni rahisi anzisha huduma Yako uone kilicho mtoa kanga manyoya shingoni 😁
 
Siku akisema anawaponya wenye vibamia mnistue...kibamia changu sasa kimwishiwa pawa ata dakika mbili hakifiki tena
 
Naunga mkono hoja. Watu weusi tuna uwezo mdogo sana wa kufikiri na kuchanganua mambo
 
Unaona kama mwamposa ana enjoy sana that's why...


Hujui nyuma ya huduma yake Kuna sacrifice ngapii jamaa alifanya

Not easy 😞

Kama ni rahisi anzisha huduma Yako uone kilicho mtoa kanga manyoya shingoni 😁
Sacrifice za kumwaga damu za watu? No way !! Hilo kanisa la hivyo fungua wewe.

Nitabaki Mkatoliki hadi Yesu arudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…