Mie nataka kilichopimwa pia naogopa madalali Sana Bora kampuni inayojulikana, asante kwa maelezo mazuri
Kuanzia 5m mkuu, karibu sana wenyeji tupo
Unataka kwa maeneo gani na kiwanja cha ukubwa gani?Mie nataka kilichopimwa pia naogopa madalali Sana Bora kampuni inayojulikana, asante kwa maelezo mazuri
Tatizo la huko ni wezi. Kuna wizi sana wa kuvamia usiku huko Kigamboni. Wenye pesa zao wanalazimika kuweka electric fence na makamera.
Karibu sana, Mimi si dalali ila nimewatafutia rafiki zangu wanne viwanja huku, wawili wamejenga wawili bado,Sawa nitakujuza mkuu,
Cost ya maendeleo ya treni za juu na subways etc tuwe kama Chicago watayaona vitukuu siyo sisi.Mkuu shida sisi wabongo tunawaza mahitaji ya miaka 2-5 au labda 10, hatuwazi mbali zaidi. Hivi unajua Size ya jiji la Dar kwa maana ya eneo ni ndogo sana ukilinganisha na majiji mengine makubwa ambayo yana idadi sawa na Dar, lakini kwenye majiji yenye network nzr ya miundombinu, suala la umbali toka point A kwenda B sy issue. Kuna subways, Kuna mabus ya umma, kuna trams n.k, ni vile tu sisi hatutoweza kuwa na underground trains miaka ya karibuni, lakini kwa ukuaji wa Dar na namna technology inavyoongezeka Pamoja na idadi kubwa ya wakazi inavyoongezeka jijini, basi Dar vitu kama train za kupita juu kama za Japenga au Chicago Illinois na trams havitokwepeka na hv kutakuwa na umeme bwerereee, utaweza toka kibamba mpaka ferry ndani ya 30minutes. Dar inakuwa kwa kasi ya ajabu sana, miaka ya mwishoni mwa 80 na mwanzoni mwa 90 hapo tu tabata Kimanga na tabata shule pande za kushoto ndani kidogo bibi yangu alikuwa na manamba ya mpunga na mikorosho. Leo hii, pametapakaa nyumba kote, miaka hyhy, tukikuwa tukienda vua samaki katika mabwawa hapo mikocheni ofisi za sasa za tanesco.
Duuuh ila fanya utafiti utapata tyuuh.Ndo home halafu Kuna watu wana tabia ya kupenda kipya kila kitu, akibadili life style anabadili vingi vinavyomzunguka, makazi, usafiri nk
Dondwe mnaendeleaje huko nina kaeneo huko pia nasikia na umeme umeshaletwa huko swahiba,ni dondoo zaidi kiongozi..!/hofu yangu nasikia huko ni wachawi hawana mfano naomba ukweli ndugu kama hutajali....with lots of thanks.Mkuu wewe ni jirani yangu. Karibu Dondwe.
Kigamboni tuwaachie wenyewe.
Sina taarifa za bei zake mkuu.bei gan kwa mwez?
Karibu mkuu, Kibada kwa sasa ni kuzuri sana kiasi kwamba embe zote zimepotea kama kule kwetu kwa mama kibonge, kwa mpalange zamani tulikua tunawinda na kula embe na koroshoNitakutafuta PM nikija Dar nikapaangalie mara ya mwisho kuja huko ilikuwa 2008 ndio walikuwa wanapima viwanja vya kibada.
Zipo zinaanzia 250,000/- kwa mwezi,bei gan kwa mwez?
Duh mkuu Kibada imejaa. In fact imejaa magorofa ya maana.Nitakutafuta PM nikija Dar nikapaangalie mara ya mwisho kuja huko ilikuwa 2008 ndio walikuwa wanapima viwanja vya kibada.
Geza 5m napata umbali gani kutoka main road na ukubwa gani?Kuanzia 5m mkuu, karibu sana wenyeji tupo
Hiyo kwa mpalange unaona uzuri sasa, tuulize sisi ambao tumekaa na kusoma huko kuanzia primary , hiyo barabara kabla ya kujengwa ilishapoteza maisha ya watu hapo shule Dovya na pale kwa mama kibonge,Ukijaribu kuvuka kupitia daraja ni mizinguo sana .Kigamboni hapana kwa kweli bora hata nibaki kwa Mpalange[emoji23][emoji23]
😘Duuuh ila fanya utafiti utapata tyuuh.
Recently ilikua 9m ambacho rafiki yangu alinunua ila umbali ni 2km from main road, hiyo 5m wacha nimuulize jamaa, ila ukitaka mwembe mdogo na Mwongozo kwa hiyo 5m unapata,Geza 5m napata umbali gani kutoka main road na ukubwa gani?
Okay.Recently ilikua 9m ambacho rafiki yangu alinunua ila umbali ni 2km from main road, hiyo 5m wacha nimuulize jamaa, ila ukitaka mwembe mdogo na Mwongozo kwa hiyo 5m unapata,
Kutoka Mwongozo to ferry ni 18km,
Duh mkuu Kibada imejaa. In fact imejaa magorofa ya maana.
Nadhani unamaanisha kumejaa kwa maana majumba yameporomoshwa mengi tofauti na kipindi alichokuja yeye..Duh mkuu Kibada imejaa. In fact imejaa magorofa ya maana.