Wapondaji wengi ni wapangaji. Ila nawaelewa unatakiwa upange sehemu convenient for youKatika kete nilizocheza vizuri maishani mwangu ni kujenga Kigamboni baada ya kuuza Madale.
Ila kila shetani na mbuyu wake.
Kuna mmoja hapo anawapiga matango pori wenzie ... Eti unakaa kusubiri kivuko 3hrs... Mimi natoka mikwambe kwenda mwenge daily na nawahiNi wazi wachangiaji wengi wanapasikia tu Kigamboni kama kawaida ya wabongo mpe heading mengine atajazia.
Wengine tunawasoma tunapita tuKuna mmoja hapo anawapiga matango pori wenzie ... Eti unakaa kusubiri kivuko 3hrs... Mimi natoka mikwambe kwenda mwenge daily na nawahi
Karibu sana Mkuu,Yan mm ndo nafikiria kuhama huku kigamboni nihamie tegeta nyuki maana stress za kuvuka na ma panton haya imenishinda aiseehh. sometimes bora folen kulko ule ujinga wa kuvuka maji
Kawafundishe mkuu
Ukipata muda tembea kuanzia Mji mwema Hadi Mikwambe uone viwanja vilivyopo barabara hio peke yake achana na zile hotels za baharini. Ikifika weekend napata shida niende wapi. Kigamboni sihami tena nazidi kusogea mbele kule nishafika Dege eco villageSawa mkuu...
Anonymous haina jinsia.
Oyaaaaaaa Tangaaaazooooooooooo....!!
Wale wa Kigamboniinooooo mkooo taaayaaariiiiiii.......!!!
Kasie The Foodie anakuja kuwafundisha namna ya kula utumbo wa samaki, mbata za madafu na mazagazaga ya sea food....
Andaeni ndimu na pilipili, tangawizi nakuja nazo....πππ
Kibali kishatoka hapa fulu TBS.....π
Kiiigaaamboooniiinoooooo hoooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ππππππ
Wuuuuhuuuuuuuuuuuu....!!
Team Kg mko juuuuuuuuuuui........
Shurti niwaandalie KG Bash full of sea food hadi wenye allegies watakula bila kuathirika.
Hapana chezea Kasie The Foodie πͺπ½πͺπ½π.
π₯π₯.
Ujambazi hakuna, mi nimewahi acha nyumba ina kila kitu bila mlinzi miezi 2 ila hawakuiba hata AC zilizokuwepo njeAcha fix wewe. Mimi kuna siku nakaa huko Juliana,samaki samaki Hadi saa Saba nane na ninarudi Kigamboni usiku sina mlinzi geti nafungua mwenyewe. Niliishi miaka mitatu bila geti
Popo nundu ni kina nani hao mkuuSiku utakayo tafunwa na popo nundu, ndy utakumbuka kurudi servey.
Endelea kuipigia promo
Sent using Jamii Forums mobile app
Utalipa darajani 2000tsh kila unapopita kwa mwezi bei gani?Daraja la nyerere ni chap tu ila uwe na usafiri wako
Kata ya Toangoma yote kwa ujumla wake ipo Manispaa TemekeKwani TOANGOMA na GOROKA nazo si Kigamboni??? Balaa lake si la kitoto, kuna watu wanaitwa WAMAREKANI WEUSI,,, halafu kuna mwingine anaitwa YESU...
Juzi nilikuwa uko ni kweli kabisa,kufika saa 3 usiku tu hakuna usafiri wa daladala,nikajiuliza sijui kwanini wakati maeneo mengine unaweza ukatembea usiku wote na madaladalaUkitaka mwisho wako wa Kutembea kutokana na Vibaka na Majambazi kuwa wengi na Kula Kwako Bata ( Kustarehe ) kuwe ni Saa 12 Jioni, basi kaishi Kigamboni.
Kigamboni (sasa ni wilaya) ni sehemu ya jiji la Dar es Salaam ambayo tofauti na maeneo mengine ilichelewa kuendelezwa kimiundombinu mpaka kufika miaka ya 90 .Watu walichelea kuishi huko kutokana na kupaona ni maporini palipostahili kuishi wanyama.
Hivi leo,mambo ni tofauti sana,mji unakua kwa kasi ya ajabu, barabara zinajengwa kutangulia makazi ya watu,ni sehemu pekee katika jiji la Dar es Salaam ambako ukiingia unasahau kuhusu foleni za barabarani , hali ya hewa ni nzuri kutokana kutokuwepo kwa ujenzi holela wa nyumba, ni karibu sana na city centre na kuna fursa nyingi za kuanzisha biashara.
Binafsi nilifika kwa mara ya kwanza na kuhamia kigamboni mwaka 2015 kutoka Survey maeneo ya karibu na Mlimani city nilipoishi kwa takribani miaka minne,ila mpaka kufikia leo sijawahi kujutia kuishi huku wala kuwaza kuhamia mahali pengine katika mji huu kutokana na sifa nilizozitaja hapo juu na kwa bahati nzuri Mungu amenijaalia kujenga kakibanda huku huku.
Kwa ambao hawajawahi kufika huku hudhani kwamba Kigamboni ni kisiwa na kwamba usafiri pekee wa kufika huku ni wa kuvuka maji kwa pantoni, la hasha! Kigamboni si kisiwa bali imetenganishwa na sehemu nyingine ya jiji kwa sehemu ya bahari iliyoingia nchi kavu (ghuba) ambayo ni bandari ya Dar es Salaam na Kwa sasa ukiachilia usafiri wa wa pantoni kuna daraja na baraba mbili ambazo unaweza kupita bila hata kuiona hiyo bahari.
Karibuni sana Kigamboni.
Pls Nipe kazi ya kubrand hiyo product kasie mahabaSawa mkuu...
Anonymous haina jinsia.
Oyaaaaaaa Tangaaaazooooooooooo....!!
Wale wa Kigamboniinooooo mkooo taaayaaariiiiiii.......!!!
Kasie The Foodie anakuja kuwafundisha namna ya kula utumbo wa samaki, mbata za madafu na mazagazaga ya sea food....
Andaeni ndimu na pilipili, tangawizi nakuja nazo....πππ
Kibali kishatoka hapa fulu TBS.....π
Kiiigaaamboooniiinoooooo hoooooyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ππππππ
Wuuuuhuuuuuuuuuuuu....!!
Team Kg mko juuuuuuuuuuui........
Shurti niwaandalie KG Bash full of sea food hadi wenye allegies watakula bila kuathirika.
Hapana chezea Kasie The Foodie πͺπ½πͺπ½π.
π₯π₯.
hapana mku, kigamboni hapafai kabisa, kama ni kwa sababu ya bahari tu sawa lkn kuna changamoto ya usafiri sana, nilifikia huko niliona tabu zake, nilitakiwa kuamka saa 9 usiku kwenda stendi ya Magufuli mbezi, siwezi kuishi mbali na kituo cha mabasi ya kwenda mikoani.
Mpango mzima sasa ni Mbezi, Luguruni, kibamba, kiluvya na kibaha.
Uber hazipo, bajaj za shida hasa usiku ukipata uber ubhatike feri ila anaweza asije. Bora niishi buza sio kigamboni [emoji23]
Kuhama.. Yaani kuondoka na kuiacha kigamboni inataka moyo mnoo.. Nikihama kigamboni ujue nahama kabisa Dar es Salaam
True, kule niliendaga kipindi nipo O level Mikadi kuna vikundi vya wizi wanaiba mchana na hawakimbii wala nini.