Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

Jamaa angu ni kilema sasa hivi walimcharanga mapanga... Mwingine alipigwa tukio akiwa amelala wakaiba nyaraka za ofisi kesho yake akaweka electrical fence... Wote Gezaulole

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu isio na crime Dar es salaam hii. Watu wanakatwa mapanga Ocean road Mita kadhaa kutoka nyumba kubwa itakuwa kwenye makazi kama Kigamboni? Au huko Goba,Makabe,Bunju hamna crime?
 
Kwa kina Jose mtamboninooo
Jos Mtambo mzee wa Kigambo
20210617_221435.jpg
 
Hakuna sehemu isio na crime Dar es salaam hii. Watu wanakatwa mapanga Ocean road Mita kadhaa kutoka nyumba kubwa itakuwa kwenye makazi kama Kigamboni? Au huko Goba,Makabe,Bunju hamna crime?
Tatizo frequency mkuu... Comparison will be ideal kama ukifuatilia wakazi wa maeneo hayo ni mara ngapi wanakutana ni hizi kadhia. Nina washikaj watatu wanaishi huko na wote walishazinguliwa tena nyumbani kabisa.
 
Kigamboni imebadilika sana mkuu huku mambo moto na hayo mambo yalikua miaka nyuma.Kigamboni ndo mji utakao kua umepangika vizuri sana hata masaki huko na obey watapasikia tu ...
Kigamboni mji umepangika vizuri wala sio uongo
 
Luna wataalamu wa kusoma uoto wa asili wa ardhi na kubaini kipindi cha masika maji yanatuama hapo ama yanapita au yanaingia ardhini kwa mida mfupi.

Nilipewaga hilo somo miaka 7 iliyopita kwa sasa sikumbuki vizuri kudadavua ila ukiwasikiliza ukashika hupotei.
Una wasiwasi napo, dawa ni kwenda kununua kipindi cha masika, hapo ndio utajua km unauziwa bwawa la kambale ama kiwanja. [emoji23]
 
Wewe Una washkaji Mimi nakaa huku mwaka wa tano huu,Nina marafiki kibao wanakaa huku maeneo mbali mbali na hawajawahi kuvamiwa. Crime ipo Dar karibu yote
Tatizo frequency mkuu... Comparison will be ideal kama ukifuatilia wakazi wa maeneo hayo ni mara ngapi wanakutana ni hizi kadhia. Nina washikaj watatu wanaishi huko na wote walishazinguliwa tena nyumbani kabisa.
 
Wewe Una washkaji Mimi nakaa huku mwaka wa tano huu,Nina marafiki kibao wanakaa huku maeneo mbali mbali na hawajawahi kuvamiwa. Crime ipo Dar karibu yote
Nimeishi Mikwambe nikahama mkuu. Si kwamba siifahamu Kigamboni. Wewe au jamaa zako kutokumbwa na matukio haiondoi kuwa Kigamboni kuna uhalifu uliokithiri.

Kigamboni yajipanga kukabiliana na uhalifu | East Africa Television
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni: Wezi na vibaka watakaokamatwa watapigwa na kuvunjwa miguu kabla ya kupelekwa Mahakamani
 
Nitajie sehemu isio na uhalifu Dar. Na wewe washkaji zako watatu kuvamiwa sio kielelezo kuwa kuna uhalifu uliokithiri si tungekimbia wote?! Huko Goba Makabe sijui Hadi mbwa wanauawa na wezi wa power window. Mbezi beach juzi juzi hapa kapigwa risasi mtu mchana kweupe napo vipi? Kuna video kibao zinatembea za matukio ya Goba huko. Sehemu nyingi nje ya mji sio salama sio Kigamboni tu labda kama mnafikiri Kigamboni yote ni nje ya mji

Sawa mkuu... Uzuri serikali inajitahidi kuimarisha ulinzi na kuongeza vituo vya polisi maeneo mengi huko
 
Back
Top Bottom