Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Kuna bibi alikua jirani yetu anambuzi wake kama 6 au nane hivi basi huko bandani anawapiga anawatukana kuna siku beberu likampuha kichwa Alipiga ukunga akasema lichinjwe litamuua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sana maana alibananishwa bandani akapewa dozi [emoji23][emoji23][emoji23] ikawa mwisho wa beberu yule
[emoji23][emoji23][emoji23] Mbuzi hawana maana kabisa
 
Pale kilimahewa mwanza mlimani enzi hizo bado mlima una nyumba chache, tukawa tunachunga mbuzi wa babu mlimani kule, sasa tukawa tunakawaida ya kuwachapa viboko vya hatari endapo tu mbuzi akifanya kosa la kugoma kutembea pindi tuvutapo kamba, tulikuwa wajukuu kama wanne hivi, sasa mbuzi akigoma tu unatoa taarifa kwa wenzio oyaa wangu kagoma basi anafungwa kwenye mti kamba fupi tunakata stiki za kutosha tunamshambulia balaa ha ha sometime tulikuwa tunawasingizia kuwa wamegoma ili tu,, tuwakate stiki.. mbuzi walikuwa na adabu kichizi
Sasa ukiwa mlimani mtu aliyeko bondeni anaona kila kitu, stori ikamfikia babu siku babu akatuvizia akapanda juu ya mti tuliokuwa tunawafunga pale ili kuwa stiki.. tumeanza kuwapiga tu babu akashuka kwenye mti huo huo aisee tulitembezewa stiki 😀 nafikiri mbuzi walifurahia sana ile revenge yao.
Kwa sasa nina mbuzi kama 26 juzi mchunga mbuzi aliniambia baba naomba uniongeze fedha maana mbuzi ni wengi na wana sumbua hasa muda huu bado mazao yako shambani,, nilipanda dau fasta hata sikutaka kubisha. Mbuzi ni noma asee😀
 
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,

Wana visirani na viburi sijawahi ona ,

Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya

Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usku mzima , usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga ,

Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt , mchungaji lazima utepete..

Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza mana ni full kunuka kibeberu

wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo mana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop
, kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania

View attachment 2612382

View attachment 2612275

View attachment 2612810
Unasingizia viumbe vya watu..
 
Hongereni
Mwezi uliopita nilijitia kiherehere kununua ng’ombe wa kienyeji, alitaka kunipa kesi ya mauaji baada ya kumpiga jirani

Nimeishia kumchinja siku ya Eid,
Sitaki tena mnyama Mwenye miguu minne kwangu
Aaah Rudisha bhana Ile avatar 😁
 
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,

Wana visirani na viburi sijawahi ona ,

Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya

Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usku mzima , usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga ,

Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt , mchungaji lazima utepete..

Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza mana ni full kunuka kibeberu

wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo mana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop
, kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania

View attachment 2612382

View attachment 2612275

View attachment 2612810
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kusema ukweli ni wasumbufu mno,nilikuwa nao kama wanane hivi siku walipovamia shamba la shemeji yangu na kurarua mihogo ndio siku nilimpigia jamaa wa vingunguti aje awachukue kwa bei aloitaka mwenyewe
 
Hawa wadudu wasumbufu sana. Nakumbuka mzee ashawahi kuwa na ugomvi na mbuzi wake[emoji16][emoji16]

Yule mbuzi alikuwa korofi korofi tu halafu akimpiga bibi anakuja juu. Kuna siku tupo jikoni tunakula yule beberu kama kawaida yake anapiga wenzie walisahau kumfunga kamba, mzee ile kutupia jicho akaliona ni lile beberu, akanyanyuka kwa hasira akalikamata ndevu akamuwasha kofi, akamng'ata sikio mpaka akamega kipande.
Nyumbani wakaona sasa hiyo mbuzi tuchinje tu maana ukiachana na kutokuwa na maelewano mazuri na boss wake, lakini pia ingeweza kumletea uchizi mwenye nyumba[emoji16][emoji16]
 
Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,

Wana visirani na viburi sijawahi ona ,

Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya

Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usku mzima , usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga ,

Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt , mchungaji lazima utepete..

Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza mana ni full kunuka kibeberu

wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo mana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop
, kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania

View attachment 2612382

View attachment 2612275

View attachment 2612810
Wapuuzi sana hao viumbe.
 
Attachments

  • Mbuzi.mp4
    810.3 KB
Hawa wadudu wasumbufu sana. Nakumbuka mzee ashawahi kuwa na ugomvi na mbuzi wake[emoji16][emoji16]

Yule mbuzi alikuwa korofi korofi tu halafu akimpiga bibi anakuja juu. Kuna siku tupo jikoni tunakula yule beberu kama kawaida yake anapiga wenzie walisahau kumfunga kamba, mzee ile kutupia jicho akaliona ni lile beberu, akanyanyuka kwa hasira akalikamata ndevu akamuwasha kofi, akamng'ata sikio mpaka akamega kipande.
Nyumbani wakaona sasa hiyo mbuzi tuchinje tu maana ukiachana na kutokuwa na maelewano mazuri na boss wake, lakini pia ingeweza kumletea uchizi mwenye nyumba[emoji16][emoji16]
Kuna mbuzi Moja kubwa kama ndama ilikuaga libabe la wababe Lina KENGELE 😊🤓 shingoni limbuzi la mizimu...
 
Kuna mbuzi Moja kubwa kama ndama ilikuaga libabe la wababe Lina KENGELE [emoji4][emoji851] shingoni limbuzi la mizimu...
Tulikuwa nayo kama hiyo. Hata bandani kwake huingii mpaka ulifunge na lilikuwa halifunguliwi. Mbuzi ni wakorofi sana[emoji16]
 
Ndo maana
Ninao kama 60 hawa Nala, Dodoma Mbuzi ni mchafu, msumbufu, mkeraji, ana sura mbaya anaweza kukufanyia jambo ukataka kumdunda akaleta majonjo ya kuudhi mara mbili ukapiga akafa
Wanasema unaweka sura ya mbuzi
 
Kuna wale wa pale Mbezi beach tank bovu wanajichunga wenyewe na Barabara wanavukia kwenye zebra Kila siku asubuhi na jioni bila kukosea.
 
Back
Top Bottom