Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Sasa jamaa yangu kwao kulikua na mbuzi kama kumi hivi weekend nilikua nampitia tunakwenda wote kuchunga, badala ya kuwafunga.
Sasa sehemu ya malisho kulikua na mto ambao tulikua tunaogelea sasa tukifika ilikua mbuzi wanaendea haki, tunawatembezea stiki mixer kuwazamisha kwenye maji tuone wanavoogelea.
😄😄
 
Mbuzi watakufundisha roho mbayaaa
 
Aisee hawa viumbe wasumbufu!!!!!
Nakumbka dadang alipata mgawo wa urith wa mbuz.....

Kila siku jion nkaw nampelek malishon, huyo mbuz alikuw ananguv ya ajabu siku hiyo nikajichangany kujifunga kamb yake kiunoni ghafla si akaanza mbio. Nilinusurk kuumia maan ile kamb ilikwam kweny kisik baad ya kuniburuz kwa umbal mfup[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
Hahahahaha pole sana..mie mbuzi aliwahi ni vunja mguu
 
Hivi huwa wanalala kweli wale kuna siku hawakwenda kwao walikesha juu ya matofali yangu wakihangaika hangaika usiku kucha wakawa wananikera nashindwa piga usingizi nikawa naamka nawafukuza umbali wa karibu mita 50 nikirudi ndani dakika kumi nyingi nasikia wamerudi wanakwea kwenye matofali ikabidi tu niwaaache niliona nahangaika na wendawazimu
 
Mimi nimefunga hao,kesi kwangu zikawa haziishi,mara wamekula gunia la mahindi nikalipa,sijakaa vizuri akaja mama analia eti wamekula mboga ya kisamvu kikiwa kinachemka jikoni,natazama upande wa kulia namuona bibi anakuja anasema wamebwia chumvi ya mawe yote.

Nikawauza
 
Kuna mahali nilikaa mmoja aliingia anga zangu nilimchapa kibao cha tumbo alipiga ukunga kama mtu uwiiiiiiii
Watua wanakusanyika wanauliza nani huyo anapiga kelele nawaambia mbuzi hawaamini

Mpaka leo na uzee wake yule mbuzi akiniona anainamisha kichwa kama anamsalimia masta wake😂😂😂😂
 
Ninao kama 60 hawa Nala, Dodoma Mbuzi ni mchafu, msumbufu, mkeraji, ana sura mbaya anaweza kukufanyia jambo ukataka kumdunda akaleta majonjo ya kuudhi mara mbili ukapiga akafa
Hahaaaaa, mzee wangu alikuwa anafuga. Ile nimemaliza form six, nikawa nawafungilia nawapeleka sehemu. Kuna mmoja huwaga anasumbua. Hata mzee huwa anamsumbua sana.

Siku 1 nawafungulia kanitoroka huku ameniburuza mkono ukutani kwani nilikuwa namfunga kamba. Nikachubuka na kutoka damu mkononi. Nikawa namfuata nimrudishe, akakimbia kama Kilomita 3 huku namfukuza. Akawa anakula vitu vya watu huku anakimbia

Hahaaaaa, nilipomshika huko mbali, nilimpiga hadi wapita njia wakaja mtetea. Kule kijijini wengi hawanijui ila kwa kuwa nimefanana na mzee na wanajua mbuzi za mzee. Wakawa wanamwambia mzee, yule mtoto wako mmoja mwanajeshi America sana mbuzi. Yaani nilimtandika mateke, magumi, vichwa, nilimpiga roba, vipepsi, makofi hadi kumng'ata masikio.
 
Hadi roba jmn [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom