[emoji23][emoji23][emoji23] Mbuzi hawana maana kabisaKuna bibi alikua jirani yetu anambuzi wake kama 6 au nane hivi basi huko bandani anawapiga anawatukana kuna siku beberu likampuha kichwa Alipiga ukunga akasema lichinjwe litamuua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilicheka sana maana alibananishwa bandani akapewa dozi [emoji23][emoji23][emoji23] ikawa mwisho wa beberu yule
Unasingizia viumbe vya watu..Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,
Wana visirani na viburi sijawahi ona ,
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya
Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usku mzima , usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga ,
Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt , mchungaji lazima utepete..
Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza mana ni full kunuka kibeberu
wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo mana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop
, kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania
View attachment 2612382
View attachment 2612275
View attachment 2612810
Aaah Rudisha bhana Ile avatar πHongereni
Mwezi uliopita nilijitia kiherehere kununua ngβombe wa kienyeji, alitaka kunipa kesi ya mauaji baada ya kumpiga jirani
Nimeishia kumchinja siku ya Eid,
Sitaki tena mnyama Mwenye miguu minne kwangu
Aaah Rudisha bhana Ile avatar [emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16]Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,
Wana visirani na viburi sijawahi ona ,
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya
Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usku mzima , usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga ,
Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt , mchungaji lazima utepete..
Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza mana ni full kunuka kibeberu
wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo mana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop
, kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania
View attachment 2612382
View attachment 2612275
View attachment 2612810
Ukifuga sana mbuzi kwa muda mrefu, kuna mbuzi mmoja atakuzoea sana, mtazoeana na mwisho wa siku mnaanza kufanana hadi sura.
Wapuuzi sana hao viumbe.Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku ,
Wana visirani na viburi sijawahi ona ,
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii , na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani , anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya
Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usku mzima , usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga ,
Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt , mchungaji lazima utepete..
Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza mana ni full kunuka kibeberu
wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo mana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop
, kama unaamini Una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama , vinginevyo unatutania
View attachment 2612382
View attachment 2612275
View attachment 2612810
π€£π€£π€£πWapuuzi sana hao viumbe.
Sio mbuzi wote ni jeuri kama huyo hivyo hivyo Kwa binadamu.......Wapuuzi sana hao viumbe.
Kuna mbuzi Moja kubwa kama ndama ilikuaga libabe la wababe Lina KENGELE ππ€ shingoni limbuzi la mizimu...Hawa wadudu wasumbufu sana. Nakumbuka mzee ashawahi kuwa na ugomvi na mbuzi wake[emoji16][emoji16]
Yule mbuzi alikuwa korofi korofi tu halafu akimpiga bibi anakuja juu. Kuna siku tupo jikoni tunakula yule beberu kama kawaida yake anapiga wenzie walisahau kumfunga kamba, mzee ile kutupia jicho akaliona ni lile beberu, akanyanyuka kwa hasira akalikamata ndevu akamuwasha kofi, akamng'ata sikio mpaka akamega kipande.
Nyumbani wakaona sasa hiyo mbuzi tuchinje tu maana ukiachana na kutokuwa na maelewano mazuri na boss wake, lakini pia ingeweza kumletea uchizi mwenye nyumba[emoji16][emoji16]
Tulikuwa nayo kama hiyo. Hata bandani kwake huingii mpaka ulifunge na lilikuwa halifunguliwi. Mbuzi ni wakorofi sana[emoji16]Kuna mbuzi Moja kubwa kama ndama ilikuaga libabe la wababe Lina KENGELE [emoji4][emoji851] shingoni limbuzi la mizimu...
Wanasema unaweka sura ya mbuziNinao kama 60 hawa Nala, Dodoma Mbuzi ni mchafu, msumbufu, mkeraji, ana sura mbaya anaweza kukufanyia jambo ukataka kumdunda akaleta majonjo ya kuudhi mara mbili ukapiga akafa