Ukitaka kujipima kama una upendo wa kweli na uvumilivu basi fuga mbuzi wa kienyeji

Wakati nakua my brother ilikuwa ikifika zamu yake kuwafungulia bandani asubuhi alikuwa analia kinoma jinsi walivyokuwa wanampelekesha. Walikuwa mbuzi 18 tu ila ikifika zamu yako ya kuwafunga kwenye malisho utaimba alelelee
Ukitaka ucheke we kaa Kwa mbali alaf mwangalie mtu anayewafunga mbuzi jinsi wanavyomhenyesha
 
Vipi ukiwachapa viboko kama ng'ombe wanaskia?
Ngombe unaweza mchapa Kwa mbali unatumia Tu mjeredi , mbuzi kumwadhibu inabd umshike au uwe karbu Naye Sana mana yeye ni easy to maneuver ( ananyumbulika Kwa haraka) sio rahs kumwadhibu Kwa fimbo ya mbali
 
Ha ha ha....[emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Umenikumbusha kwa babu yangu,kulikuwa na Mbuzi na Ng'ombe. Sema kuna Ng'ombe madume wakati mwingine walikuwa wanasumbua, wakienda machungani wakati mwingine wanang'ang'ania kwa majike ya watu wengine.Ilikuwa ni kazi kuwafuata na kuwarudisha zizini. Balaa ilikuwa ni siku ya kuhasi Ng'ombe madume ili wakauzwe Dar,kuhasi mbuzi madume haikuwa ngumu sana.Tunachukua nyundo tunagonga pumbu 😒.
 
Champion aliupiga mwingi[emoji38]
 
Basi labda ndo maana mimi ni mvumilivu,sasa kweli kuwachunga mbuzi ni ngumu sana,Inatakiwa uwe makini ili wasilishe kwa mashamba ya watu ikawa kesi.Pia kila dakika wakitaka kupitiliza mpaka inabidi ukawanyame. Hata mkiwa mnatoka malishoni,inabidi kuwa makini wasiende kulia ama kushoto.
 
Ningeshangaa huu uzi uishe bila kutoa hii habari ya kuangushwa mtu, uzi ungekuwa na mapungufu [emoji3][emoji3][emoji3],
 
Ngombe unaweza mchapa Kwa mbali unatumia Tu mjeredi , mbuzi kumwadhibu inabd umshike au uwe karbu Naye Sana mana yeye ni easy to maneuver ( ananyumbulika Kwa haraka) sio rahs kumwadhibu Kwa fimbo ya mbali
Ha ha ha....kwa hizi comments huyu mnyama pasua kichwa sana[emoji1]
 
Maumivu yakiisha anaendelea na tabia hiyo tena.

Mbuzi wengi wakorofi tulikuwa tunawavunja pembe, maana target kubwa ya kuwapiga ilikuwa ni kichwani.

Unaweza kuta kwenye kundi la mbuzi, wengine pembe zimevunjika ujue hao ni walafi
Ha ha ha.....akil za mbuzi bhana[emoji38]
 
Kuna braza wangu anao kma mia hv jamaa kaanza kufanana nao kweli yule jamaa ana uvumilivu na upendo wa mbuzi halafu najiuliza kawezaje kuwafuga mjini!?
 
Imagine na wewe unagonga pumbu la mbuzi 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…