Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bora kondoo mara mia n wastaarabu sana...ila wakianza pigana kaa mbaliSamahani:
Hivi ushawahi funga KONDOO?
Ushawahi wakuta ule ukiburi wao waki inamisha vichwa chini?
Kati ya mbuzi na Kondoo, basi kondoo ni mchafu zaidi, ni anakiburi zaidi alafu kiburi cha kimya kimya.
Alafu akili zao wanazijua wenyewe wakiamua jambo lao.
Nawashangaa sana wanakubaligi kuitwa MAKONDOO kanisani.
Nimeicheka sana hii.. Kuna ukweli flani[emoji16][emoji16][emoji16]
Mbuzi akiwa anakula alaf akawa anakuangalia usipokuwa makini unaweza Angua kicheko
Daa hii comment hatari
Alinijera sana yule mpuuzi. Hadi mzee alikuwa anamjua kuwa msumbufu akawa ananiambia nisiwe na hasira na nisiwe na hasira naye. Kuna muda hadi mi mwenyewe nilimuonea huruma na kujisikia vibaya kwa namna nilivyompa kupigo.Hadi roba jmn [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Unadhani Kwa nini Yesu alikuwa anapenda kufuga kondoo na sio mbuzi??? Mwenyewe alichemka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa jirani yako analeta umbea kwenye nyumba za watu ng’ombe afanyejeHongereni
Mwezi uliopita nilijitia kiherehere kununua ng’ombe wa kienyeji, alitaka kunipa kesi ya mauaji baada ya kumpiga jirani
Nimeishia kumchinja siku ya Eid,
Sitaki tena mnyama Mwenye miguu minne kwangu
🤣🤣🤣 alitaka kunisababishia kesiSasa jirani yako analeta umbea kwenye nyumba za watu ng’ombe afanyeje
Ng’ombe ukiona amekupiga kuna mambo mawili
Unapiga umbea sana kumhusu
Unamuangalia demu wake kimatamanio😁😁😁
Hilo la umbea anaweza kukufikiriapo akakupa karipio tu
Ila hilo jingine zea iz no wei aut
Lazima akutaitishe tu😂
Unafugia wapi ndugu.Kuwafuga hawa wanyama inahitaji uvumilivu wa Hali ya juu na upendo uliotukuka vinginevyo utakuwa unavunja mguu wa mbuzi kila sku.
Wana visirani na viburi sijawahi ona.
Picha linaanza akikata kamba aisee atakupigisha tizi moja sio ya nchi hii na ukimkamata ukaanza kumvuta na kamba yake anaamua kuzingua tuu yaani, anagoma kabisa na anaamua kukaa huku amenyanyua kichwa juu na amekuangalia Kwa kibri kana Kwanba huna la kumfanya.
Humo kwenye Banda usiku wanaweza amua kuanza kuzichapa Tu yaan , ni mnyukano na makelele usiku mzima. usishangae kuwakuta wote wamejifunga kamba kama wanataka kujinyonga.
Na kama kuna shamba Fulani wamezoea kuharibu aisee ukiwafungulia tuu asubuhi ni mwendo wa Usain bolt, mchungaji lazima utepete.
Kama Una miadi ya kuonana na demu usiingie kwenye Banda la mbuzi Kwanza maana ni full kunuka kibeberu.
Wachunga mbuzi wengi huwa dishi limeyumba kidogo maana ni mwendo wa kupigishwa jogging non stop, kama unaamini una huruma Sana na upendo basi fuga hawa wanyama, vinginevyo unatutania.
View attachment 2612382
View attachment 2612275
View attachment 2612810
View attachment 2688995
😅😂😂😂😂😂 ukifuga mbuzi unakuwa kichaaa et unamng’ata masikio una matatizo ya akiliHahaaaaa, mzee wangu alikuwa anafuga. Ile nimemaliza form six, nikawa nawafungilia nawapeleka sehemu. Kuna mmoja huwaga anasumbua. Hata mzee huwa anamsumbua sana.
Siku 1 nawafungulia kanitoroka huku ameniburuza mkono ukutani kwani nilikuwa namfunga kamba. Nikachubuka na kutoka damu mkononi. Nikawa namfuata nimrudishe, akakimbia kama Kilomita 3 huku namfukuza. Akawa anakula vitu vya watu huku anakimbia
Hahaaaaa, nilipomshika huko mbali, nilimpiga hadi wapita njia wakaja mtetea. Kule kijijini wengi hawanijui ila kwa kuwa nimefanana na mzee na wanajua mbuzi za mzee. Wakawa wanamwambia mzee, yule mtoto wako mmoja mwanajeshi America sana mbuzi. Yaani nilimtandika mateke, magumi, vichwa, nilimpiga roba, vipepsi, makofi hadi kumng'ata masikio.
Wana matumbo manne , mchana huwa wanapakia , usku ndo wanatafunaMbuzi anaweza akawa anatafuna kitu hicho kitu ni kama vile hakiishi hapo yupo bandani ambapo hamna majani lakini unamuona anatafuna kitu kama.mtu anavyotafuna bigijii
Kondoo ni sisi wakristo mbuzi ni kina adrizUnadhani Kwa nini Yesu alikuwa anapenda kufuga kondoo na sio mbuzi??? Mwenyewe alichemka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂 😂 😂 😂Mwingine huyu hapa kajifunga mguu makusudi ili kufupisha kamba yake
View attachment 2939062