Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Hizi nchi za kiafrika sijui tungeachwa zama za mawe tu?
Hakuna kitu tunaweza, barabara wanapeana tenda kwa kujuana, wanatengeneza katika hali ya chini hiyo lami. Ili wapate tena tenda ya kurekebisha viraka kila mara, na kampuni hiyohiyo kila mwaka inapewa tenda!!!

Haya mwendokasi ni kipi kinatushinda, mpaka tunafikia hapa? Walianza kuharibu mashine, ili wapige hela. Mabasi mengi mabovu, watu wanateseka na huo usafiri. Cha ajabu bado barabara za mwendokasi zinajengwa karibu njia zote za Dar. Ili umuelewe Muafrika, inabidi usiwe na akili.
 
Amani kwenu

Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu

Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman

YESU njoo Africa tunateseka jaman
Upigaji.....kila mradi kuna mkubwa anataka kula ili aweze kusaidia chama kibaki........kwa mwendo huu Chama hakitatoka na maendeleo hatutapata kamwe
 
Mtu mweusi ana mapungufu mengi sana ukilinganisha makundi mengine ya binadamu.

Na hii sio kwa walioko Afrika tu bali mahali popote alipo duniani tabia ni ile ile....mfano halisi ni Haiti 🇭🇹
Shida nini sasa ndugu ndo tulivyo umbea au inakuaje
 
Wale jamaa wana tuwezea kwenye tume ya uchaguz kaka
 
Mtu mweusi ana mapungufu mengi sana ukilinganisha makundi mengine ya binadamu.

Na hii sio kwa walioko Afrika tu bali mahali popote alipo duniani tabia ni ile ile....mfano halisi ni Haiti 🇭🇹
Peter Torshi aliimba
" No matter of your Nationality as long as your are blackman, then you are African"

Maana yake hata ukizaliwa Ulaya kama wewe ni Mweusi basi ujinga ni ule ule.
 
Dah umeongea point na kwa machungu sana
 
Na waliahidi wataleta mpya mwezi huu lakin mpaka sasa kimiya

Na rais tu tuliyenaye naye ndo tatizo linapoanzia

Tuna rais wa mchongo hii nchii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…