Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Umejuaje zimejaa?Guest zote za Goba hadi Mbezi Mwisho zimejaa mda huu, hapa ndio utaona umahiri wetu mkuu. Huko kwingine aaaah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umejuaje zimejaa?Guest zote za Goba hadi Mbezi Mwisho zimejaa mda huu, hapa ndio utaona umahiri wetu mkuu. Huko kwingine aaaah!
Kwahiyo sisi ni empty set?Watanzania wote uwezo wao wakufikiri na kutenda ni sawa, kuna kitu kipo kwenye DNA zetu.
Mwenye PHd hana tofauti form 4.
Tajiri hana tofauti na masikini.
Mwenye kuzurula Ulaya na Marekani hana tofauti na mkazi wa kibondo
Upigaji.....kila mradi kuna mkubwa anataka kula ili aweze kusaidia chama kibaki........kwa mwendo huu Chama hakitatoka na maendeleo hatutapata kamweAmani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Shida nini sasa ndugu ndo tulivyo umbea au inakuajeMtu mweusi ana mapungufu mengi sana ukilinganisha makundi mengine ya binadamu.
Na hii sio kwa walioko Afrika tu bali mahali popote alipo duniani tabia ni ile ile....mfano halisi ni Haiti 🇭🇹
Kwenye Kudinyana.....viongozi wetu Baltasar akasomeGuest zote za Goba hadi Mbezi Mwisho zimejaa mda huu, hapa ndio utaona umahiri wetu mkuu. Huko kwingine aaaah!
Wale jamaa wana tuwezea kwenye tume ya uchaguz kakaMwendakasi sio shirika la umma?? nadhani ndio maana huwezi kukuta utendaji kazi wake una hojiwa mahali popote pale.
Si wabunge, si waziri, si madiwani, wote kimya.
Ni wananchi ndio wenye uwezo wa kuamua hili shirika liendeje.
Tatizo wengi wetu ni wabinafsi,
Mtu analalalimika, ila akishaingia(kwa kugombania) kwenye Basi. Anasahau shida zote. Walioko nje anawaona kama wamekosea maisha.
Kama wananchi tungekuwa tunajua tunataka nini siku moja pale kimara/ gerezani/kivukoni, tunagoma mpaka mtendaji mkuu aje aone adha tunayopitia.
Pengine wangekua serious na usafiri huu.
Shida ya Tanzania inaanza na sisi wenyewe, wananchi hatutaki mabadiliko ya aina yoyote.
Peter Torshi aliimbaMtu mweusi ana mapungufu mengi sana ukilinganisha makundi mengine ya binadamu.
Na hii sio kwa walioko Afrika tu bali mahali popote alipo duniani tabia ni ile ile....mfano halisi ni Haiti 🇭🇹
Na stand inatoza ushuru pesa kibao tu kwa siku lakini hawawezi kutunza mazingiraWe unasema mwendokasi wakati choo Cha shule TU kutunza ni kazi hapo sijasema Cha stand
Ni mtihani mkubwa sana
Dah umeongea point na kwa machungu sanaKuna siku niliwah kuwaza hivyo,kua huenda Kuna kitu hakko sawa Kwa watz wenzangu hasa akilin ,nkahis mm ndo nna tatzo labda ila sasa naona uenda nilkua sahihi kusema tunatatzo la ufkiri watz,, tuna miaka 60+ ya uhuru hatuwez hata kujisimamia kuendesha bandari zetu mpka tuite watu weupe,tuna madin ila wachimbaji wakubwa ni watu wenye pia refu na weupe,hata kutengeneza kabati na meza tuna agiza China,kiberiti tunaagiza ,,nahis tumelogwa au akili zetu wengi tuna shida kasoro mm
Vyoo vya stendi ukienda lazima utoke na kaswendeWe unasema mwendokasi wakati choo Cha shule TU kutunza ni kazi hapo sijasema Cha stand
Ni mtihani mkubwa sana
Na waliahidi wataleta mpya mwezi huu lakin mpaka sasa kimiyaMwendokasi wapo Watanzania wanaoweza kuendesha sema waliopewa hawana uwezo wowote wewe angalia mtu na Coaster zake anafanikiwa na anaongeza zingine na Road analipia Trafiki na ushindani mkubwa wakati hao mwendokasi hawana upinzani wowote abiria wanasubiri Bus ambazo ambazo zipo chache na mbovu..
Watanzania wote uwezo wao wakufikiri na kutenda ni sawa, kuna kitu kipo kwenye DNA zetu.
Mwenye PHd hana tofauti form 4.
Tajiri hana tofauti na masikini.
Mwenye kuzurula Ulaya na Marekani hana tofauti na mkazi wa kibondo