Jamaa alisema ukiona mtu hawezi kutunza usafi wa choo jua kuwa hawezi hata kulinda mali ya ummaWe unasema mwendokasi wakati choo Cha shule TU kutunza ni kazi hapo sijasema Cha stand
Ni mtihani mkubwa sana
Na bado tunajenga barabara mpya za mwendokasi kila siku hapa dar. Yaan as long as top layer ya watawala wananufaika na rushwa za miradi huwa hawajali mateso ya mtu wa chini.Amani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Sasa fanyeni kwa bidii hicho mnachoweza hadi mfanikiwe.Tunachoweza ni majungu na fitina
Katiba ndo kila kitu mzee babaWale jamaa wana tuwezea kwenye tume ya uchaguz kaka
Ukianza kumlaumu rais jua kuna mahala hutaki kukubali ukweli,Inauma sana dada
Lakini tatizo lingine ni kwa huyu rais tulinaye
Huyu rais tumepigwa aisee
Hajui hata anafanya nini zaid ya kuuza nchi na kusafiri kila leo
Akija mwingine mtakalamika hivyo hivyo . 1 waafrika hamjui nini mnataka 2. Mfumo unatengeneza viongoz wasio wajibika, akitokea anaewajibika anapigwa vitaInauma sana dada
Lakini tatizo lingine ni kwa huyu rais tulinaye
Huyu rais tumepigwa aisee
Hajui hata anafanya nini zaid ya kuuza nchi na kusafiri kila leo
Umemaliza.Nimeshaacha kuandika na kutoa dukuduku kuhusu suala lolote kwenye hii nchi kiufupi Mwafrika hasa mtanzania ni kenge muoga anayekimbilia mtoni akikwepa kunyeshewa na mvua!
Alamsiki!
Absolutely right!Biashara nyingi za Serikali kwenye magari zinafanywa na ma agent wakati wao wanaweza kwenda kwenye Viwanda moja moja kupitia maafisa wao wa ununuzi ila hawafanyi hivyo kwa maslahi ya wahuni wachache..
Ule mradi ni mkubwa wanaweza kupewa zaidi ya gari mia mbili na wasitoe hata cents moja malipo ni baada ya kazi ila wao hawawezi kufanya hivyo maana Agent wao akiwapa bei ya udarali hawataweza kulipa.
Yapo makampuni makubwa hapa Tanzania yanasafirisha mafuta kwenda DRC wakienda China au SA hawatoi hata mia kupata Truck zao wao wanatuma dereva na mkaguzi wa hayo magari basi na wanaanza kulipia deni lao linachukua karibu miezi 6 niliona huo mkataba maana nilisimamia usafirishaji wa hizo Truck mpaka Tanzania kwa Truck 100.Absolutely right!
Nilisikia Dangote wakati ananunua malori ya howo kwa ajili ya viwanda vyake vya zambia na Tanzania hakutoa hata mia , na zilikuwa units zaisi ya 1000. Na alipata bargain price ya 35000 usd kwa unit, which was way cheaper.
Huu ni msiba mzitoJust imagine🤬
View attachment 3161513
Ukiona hadi dereva anasumbua jua yayari kuna mfumo mbovu kwenye kampuniTatizo kibwa ni uvivu wa madereva jawajali kabisa abiria wao
Kuna chanjo tunapewa utotoni inasimamisha masaa ya ubongo yaani ukute sasa ni mwaka 2024 lakini bongo zetu ziko 1982, tumetoka vitani ugandaWatanzania wote uwezo wao wakufikiri na kutenda ni sawa, kuna kitu kipo kwenye DNA zetu.
Mwenye PHd hana tofauti form 4.
Tajiri hana tofauti na masikini.
Mwenye kuzurula Ulaya na Marekani hana tofauti na mkazi wa kibondo
Waafrika wengi sana ni binadamu wanaopenda sana starehe. Bila kuwashurutisha kufanya kazi usitarajie maajabu yoyote.Amani kwenu
Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu
Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman
YESU njoo Africa tunateseka jaman
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya uhai, nguvu na afya anazotujalia sote bure.Chawa Tlaatlaah yeye ni kusifia tu