Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Kwa sisi tatizo ni muundo tu wa uongozi huwa unategemea aliyebeba kofia ya chama na si raia kwa ujumla. Tunajiita democratic country ila its obviously a mix of Monarchy and Oligarchy na ili kuubadili huu muundo tunahitaji revision ya katiba.

Muundo huu wa kutukuza fikra za mwenyekiti ndio umetufikisha hapa tulipo na hali itazidi kuwa mbaya sababu sauti na nguvu ya umma imebakwa completely. Kibaya zaidi ili u survive kwenye mfumo wa aina hii ni lazma uwe mpambe wa Mwenyekiti na umtukuze yeye no mara waah. Yeye ndio alfa na Omega na ukionekana unataka kuleta any crazy ideas you are doomed sababu anamiliki heads wa mihimili yote ya serikali, heads wa mashirika yote, heads wa mamlaka zote, heads wa majeshi yote. Kiufupi he/she has absolute power which is completely absurd.

He/She can make orders to make your life miserable in a fraction of seconds. Tunaishi ndani ya huo mfumo na ndio maana inapotokea mtu ana nafasi hawezi kufikiria kufanya vitu kwa utaratibu ambao ni contrary na anavyotaka aliyempa nafasi. You want to live to see the better days then take orders and do things that will never irritate the big boss hata kama vitaumiza umati wa raia.

Mimi siwalaumu ambao wana nafasi kufanya wanayofanya sababu naelewa fika tatizo liko wapi. Tunabaki kulaumiana tu ila ukipata nafasi you would do exactly the same. Hatuna katiba inayoruhusu independent thinking na uwajibikaji this is the main culprit na ndio maana tunategemea uzalendo wa kiongozi ndio uamue fate yetu. Kiongozi asipokuwa na uchungu na taifa ndio kama hivyo tena mambo hayawezi kuwa sawa. Ukionekana cheerleader wa mabadiliko you are as good as dead man. Nani kati yetu hataki kuishi???
 
Mfumo mbovu sana hii ni kutokana na management mbovu hata mm nikikabiziwa bila kuingiliwa nina uwezo wa kurun Mfumo wa mwendokasi kwa ufanisi wa juu tatizo wanaofanya kazi hiyo awaendeshi wao kila siku matamko
 
Amani kwenu

Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu

Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman

YESU njoo Africa tunateseka jaman
Na bado tunajenga barabara mpya za mwendokasi kila siku hapa dar. Yaan as long as top layer ya watawala wananufaika na rushwa za miradi huwa hawajali mateso ya mtu wa chini.
Kufeli kwa mradi wa mwendokasi ya morogoro road ilitakiwa iwe wake up call kama kweli hii miradi ina tija kwa raia au la, kama
ieendelee au iwe scrapped.
Tutawaliwe tena wala sio utani
 
Waafrika Watanzania mbona wengine wana miradi yao na inaenda vizuri tu.
 
Inauma sana dada

Lakini tatizo lingine ni kwa huyu rais tulinaye

Huyu rais tumepigwa aisee

Hajui hata anafanya nini zaid ya kuuza nchi na kusafiri kila leo
Ukianza kumlaumu rais jua kuna mahala hutaki kukubali ukweli,
Mama hajajiweka madarakani., yupo kihalali kabisa na kwa mujibu wa katiba.
Hate the game, not players.
 
Inauma sana dada

Lakini tatizo lingine ni kwa huyu rais tulinaye

Huyu rais tumepigwa aisee

Hajui hata anafanya nini zaid ya kuuza nchi na kusafiri kila leo
Akija mwingine mtakalamika hivyo hivyo . 1 waafrika hamjui nini mnataka 2. Mfumo unatengeneza viongoz wasio wajibika, akitokea anaewajibika anapigwa vita
 
Biashara nyingi za Serikali kwenye magari zinafanywa na ma agent wakati wao wanaweza kwenda kwenye Viwanda moja moja kupitia maafisa wao wa ununuzi ila hawafanyi hivyo kwa maslahi ya wahuni wachache..
Ule mradi ni mkubwa wanaweza kupewa zaidi ya gari mia mbili na wasitoe hata cents moja malipo ni baada ya kazi ila wao hawawezi kufanya hivyo maana Agent wao akiwapa bei ya udarali hawataweza kulipa.
Absolutely right!
Nilisikia Dangote wakati ananunua malori ya howo kwa ajili ya viwanda vyake vya zambia na Tanzania hakutoa hata mia , na zilikuwa units zaisi ya 1000. Na alipata bargain price ya 35000 usd kwa unit, which was way cheaper.
 
Absolutely right!
Nilisikia Dangote wakati ananunua malori ya howo kwa ajili ya viwanda vyake vya zambia na Tanzania hakutoa hata mia , na zilikuwa units zaisi ya 1000. Na alipata bargain price ya 35000 usd kwa unit, which was way cheaper.
Yapo makampuni makubwa hapa Tanzania yanasafirisha mafuta kwenda DRC wakienda China au SA hawatoi hata mia kupata Truck zao wao wanatuma dereva na mkaguzi wa hayo magari basi na wanaanza kulipia deni lao linachukua karibu miezi 6 niliona huo mkataba maana nilisimamia usafirishaji wa hizo Truck mpaka Tanzania kwa Truck 100.
 
Jomba jomba

Ikiwa hawa viongozi ndio wale waliokuwa vinara wa migomo na uharibifu wa mali zilizokuwa zinategemewa na wao katika mafunzo yao wakiwa shuleni au vyuoni, leo tunakuja kusubiri miujiza!?
 
Tatizo kibwa ni uvivu wa madereva jawajali kabisa abiria wao
 
Kuendesha na kusimamia vyoo vya umma hatuwezi
Na kumbuka kujisaidia na knya watu wanalipiaaa

Ova
 
Watanzania wote uwezo wao wakufikiri na kutenda ni sawa, kuna kitu kipo kwenye DNA zetu.
Mwenye PHd hana tofauti form 4.
Tajiri hana tofauti na masikini.
Mwenye kuzurula Ulaya na Marekani hana tofauti na mkazi wa kibondo
Kuna chanjo tunapewa utotoni inasimamisha masaa ya ubongo yaani ukute sasa ni mwaka 2024 lakini bongo zetu ziko 1982, tumetoka vitani uganda
 
Amani kwenu

Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu

Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman

YESU njoo Africa tunateseka jaman
Waafrika wengi sana ni binadamu wanaopenda sana starehe. Bila kuwashurutisha kufanya kazi usitarajie maajabu yoyote.
 
Chawa Tlaatlaah yeye ni kusifia tu
Ashukuriwe Mungu kwa zawadi ya uhai, nguvu na afya anazotujalia sote bure.

Sifa na utukufu ni kwake yeye atupatiae nguvu pekee gentleman.

kung'ang'ana na porojo na story za pata potea ni ushirikina mtupu, achana nao utakuchelewesha 🐒
 
Back
Top Bottom