Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Ukitaka kujua kuwa Afrika hatuwezi mfano ni mdogo tu usafiri wa mwendokasi nao umetushinda ni mateso

Hizi nchi za kiafrika sijui tungeachwa zama za mawe tu?
Hakuna kitu tunaweza, barabara wanapeana tenda kwa kujuana, wanatengeneza katika hali ya chini hiyo lami. Ili wapate tena tenda ya kurekebisha viraka kila mara, na kampuni hiyohiyo kila mwaka inapewa tenda!!!

Haya mwendokasi ni kipi kinatushinda, mpaka tunafikia hapa? Walianza kuharibu mashine, ili wapige hela. Mabasi mengi mabovu, watu wanateseka na huo usafiri. Cha ajabu bado barabara za mwendokasi zinajengwa karibu njia zote za Dar. Ili umuelewe Muafrika, inabidi usiwe na akili.
Inauma sana dada

Lakini tatizo lingine ni kwa huyu rais tulinaye

Huyu rais tumepigwa aisee

Hajui hata anafanya nini zaid ya kuuza nchi na kusafiri kila leo
 
Mabasi yaliyoko barabarani na yaliyoko kwenye karakana nafikiri yaliyohujumiwa au kuharibika ni mengi
Mnahitaji mabasi mengi kuweza kupunguza hii kadhia
Kila dakika 15 lazima mabasi yapite
 
Na
Upigaji.....kila mradi kuna mkubwa anataka kula ili aweze kusaidia chama kibaki........kwa mwendo huu Chama hakitatoka na maendeleo hatutapata kamwe
Na watawala wetu hawajifunzi kwanza watu wamechoka na wamekata tamaa

Miaka inakuja na kwenda lakini Mambo bado ni yale yale

Hii nchi CCM ndo tatizo siku tukifanikiwa kuitoa CCM hata tukaongozwa kondom tu hakika tutafika mbali sana
 
Na wananchi nao ni tatizo pia.
 
Mabasi yaliyoko barabarani na yaliyoko kwenye katakana nafikiri yaliyohujumiwa au kuharibika ni mengi
Mnahitaji mabasi mengi kuweza kupunguza hii kadhia
Kila dakika 15 lazima mabasi yapite
Wanaohujumu bila shaka wanashirikiana na madaladala.. ila Ole wa Mtu anahujumu Mali ya umma. Lazma ujibu Kwa Muumba. Ikiwa Huko Duniani walikufumbia macho.
 
Amani kwenu

Mwendo kasi ni mateso
Mwendo kasi ni maumivu
Mwendo kasi ni majonzi
Mwendo kasi ni utungu

Wazungu njoon mtutawale tena sisi hatuwezi jaman

YESU njoo Africa tunateseka jaman
Air Tanzania, Matindi kishajipigia mabilioni kastaafu.

Tuelezwe kastaafu kupisha kuchugzwa au ndiyo imetoka hiyo?
 
Air Tanzania, Matindi kishajipigia mabilioni kastaafu.

Tuelezwe kastaafu kupisha kuchugzwa au ndiyo imetoka hiyo?
Ivi kumbe yule mzee kastafu?

Shamba la bibi hili unachuma unasepa una Jenga maghorofa makumbusho unapangisha unapiga hela zako tu
 
Back
Top Bottom