Mayala B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 2,109
- 5,284
- Thread starter
- #41
Inauma sana dadaHizi nchi za kiafrika sijui tungeachwa zama za mawe tu?
Hakuna kitu tunaweza, barabara wanapeana tenda kwa kujuana, wanatengeneza katika hali ya chini hiyo lami. Ili wapate tena tenda ya kurekebisha viraka kila mara, na kampuni hiyohiyo kila mwaka inapewa tenda!!!
Haya mwendokasi ni kipi kinatushinda, mpaka tunafikia hapa? Walianza kuharibu mashine, ili wapige hela. Mabasi mengi mabovu, watu wanateseka na huo usafiri. Cha ajabu bado barabara za mwendokasi zinajengwa karibu njia zote za Dar. Ili umuelewe Muafrika, inabidi usiwe na akili.
Lakini tatizo lingine ni kwa huyu rais tulinaye
Huyu rais tumepigwa aisee
Hajui hata anafanya nini zaid ya kuuza nchi na kusafiri kila leo