Ukitaka kujua mke mmoja hatoshi, subiri mkeo ajifungue

Umechemka wewe sisi ni wanaume na tunajuana hahaha kama anakuambia hivyo akitoka kazini uwe unanusa mashine utakuja kunikumbuka 🤣
Khaa sasa hapo ni kutafuta mafua ya kujitakia🤣🤣😪
 
mzigo wa kuni zako za hiyo dhambi uko palepale hatakama uliachana nae jiandae
 
3. Bahati mbaya Akijifungua Kwa kisu,
Hapa una almost miez 3-6 ya kukosa kabisa show kisa mshono wake Bado haujatengamaa.
Mkuu hapo umetupiga 😄, kwa hiyo miezi mitatu mpaka Sita Kwani amevunjika mfupa hiyo,😂, labda awe ame develop sepsis (Bacterial wound infection), mvivu kufanya mazoezi, diet mbovu, usafi zero.

Lakini pia unatakiwa kujua mambo yanabadilika, suturing techniques pia zinatofautiana kati ya surgeon na surgeon, siku hizi tunashona hata uzi hauonekani (panarambwa)😎Achana na wale walikuwa wanashonwa kama gunia la vitunguu 😄, na bado anapangiwa siku ya kwenda kutolewa nyuzi, (sio kila nyuzi za kutoa)

Na ki tabibu, precisely surgical wound approximation ina mchango mkubwa sana kwenye wound healing process, kama ilifanyika vizuri ndani ya siku tatu skin imeshajiunga, siku ya 3-5 mgonjwa anaweza kwenda nyumbani anakuwa tu anafanyiwa follow up, hata kama amejifungua kawaida by the time Lochia(sijui Kiswahili chake) imeanza kupungua na kubadilika rangi, after 42days as long as the woman is COMFORTABLE (point to take)you can do, labda awe hataki tu kwa sababu zake binafsi ila sio za upasuaji Shida wabongo wengi mnapenda vya bei chee 🤗. Mnapenda matibabu ya bure, elimu bure, incompetent health care personnel, Si tangazi biashara ila vitu Zingine NZURI NZURI mtakuwaga mnazisikia kwenye bomba 😁.
 
Tangu wife amejifngua
Nilimeet na my childhood sweetheart alikuwa devorced na mumewe tunakiwasha Sana yaan
Mpka Leo show show yaan
Wanangu usifanye kosa la kufuta namba za mchepuko one day you will regret it
 
Lakini unaruhusiwa kupiga punyeto au kuchapa changudoa ili mradi tu usikamatwe na mkeo.
 
Ndiyo maana kuna machangudoa mkuu.
 
Una thread NZITO sana DeepPond !
Kweli kabisa kabisa kabisa kabisa 🤣 😂 😆 😅 😅
 
Hapa Bado ujahesabu zile siku 4 mpk 7 anazokua period kila mwezi.

Kiukweli siku hizi Huwa Ni mateso Sana kwetu wanaume
Msiendekeze ngono kwani ngono sio ibada. Jitahidi kuvumiliana na kichukuliana japo umedanganya sana kwenye huu uzi wako kujustify tamaa na tabia yako ya Uzinzi.

Kwa uzoefu wangu wa ubaba wa watoto 4 na kukaa ndoani na mke 1 kwa miaka 20, mwanamke yoyote anayejua thamani ya mme anakupa tendo hadi miezi 8 hayo mengine ni blah blah ti.
 
Yani jitu unachanwa operesheni kulizalia, baada ya kulibebea mtoto wake kwa mateso halafu anachojua kulalamikia ni kutopewa mbususu, eti wanawake wa mjini wanachoka haraka sana. Daaah, moto mtakaochomwa nao mtajuta.
Mimba haijawahi kuwa mateso wala sio agizo la Mungu mwanamke kuzaa kwa operation ila life style yenu ya kukaa mbali na Mungu sasa ndio chanzo cha hayo yote.

Binafsi siungi mkono huu uzinzi. Kuvumiliana na kuchukuliana katika ndoa ni kitu cha msingi sana.
 
Kwamba nyeto haipo au sijawaelewa wakuu..kwani kuchepuka na nyeto kipi bora
 
Ninyi mnaopinga hamuwezi kumvumilia mwanamke baada ya kujifungua mna pepo la ngono mkaombewe mnataka kuhalalisha uzinzi wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…