Ukitaka kujua Muafrika ana asili ya Ujinga na upumbavu angalia kinachoendelea sasaivi ndani ya CHADEMA

vnn

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
3,030
Reaction score
7,500
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi

CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,

Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!

Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo

Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge

Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!

Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,

Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?

Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?

Miafrika ni laana
 
Adui wa mtu wanaanziaga nyumbani kwako

Lazima uwe mjuzi wa kanuni ya kutoa boriti kwenye jicho lako ndio ufikirie kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio

Wapambane tu hamna namna
 
Viongozi wanafanya hivyo kwa kuwa wanauhakika kwa kesho gao vijana nao vipi

USSR
 
Kwa hiyo Ukweli ukisemwa ni ujinga.
 
n
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi

CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,

Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!

Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo

Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge

Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!

Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,

Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?

Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?

Miafrika ni laana
Nani hao? wataje tuwakemee tafadhali

I can guess CCM kuna watu imewarubuni kuwa tutaiba kura na iwavyo na viwe mtashinda. Mfano huyu Mwenezi bawacha nina wasiwasi naye!
 
Kwa hii mifumo ya uchaguzi ni mwendawazimu pekee anayedhani anaweza kugombea kutoka upinzani na akatangazwa mshindi baada ya kupata kura nyingi.
Hujuma, wizi wa kura na kila aina ya ujinga hufanywa na wasimamizi wa uchaguzi kwa msaada wa dola
 
Bora tuwe tu kama sjui n nchi gani zle ambazo zna chama kimoja, kuliko njaa zq watu, tuliozaliwa na ubinafsi
 
Kwani haya hamkuyatarajia? Kwa staili ile mlivyomshambulia Mbowe ndivy itakuwa hivyo hivyo.Kuepuka hili ndiyo maana mlishauriwa kuwe na maridhiano baada ya uchaguzi...hili lilikuwa wazo bora kabisa.

Piganeni au muamue kuvumiliana tu.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Chadema ijipange

kwakuwa ccm imeshadondokea pua

Itakuwa imeshaongea na DP world waandae majimbo hata 150 ,watafutwe watu wahongwe ili eti ionekane wanaunga mkono uchaguzi
 
Kwa hii mifumo ya uchaguzi ni mwendawazimu pekee anayedhani anaweza kugombea kutoka upinzani na akatangazwa mshindi baada ya kupata kura nyingi.
Hujuma, wizi wa kura na kila aina ya ujinga hufanywa na wasimamizi wa uchaguzi kwa msaada wa dola

Mwendwazimu alilopoka kwa sauti akisema
ni rahisi nchi ya Venezuela kutawaliwa na upinzani kuliko Tanzania
 
IMG-20250401-WA0024.jpg
 
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi

CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,

Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!

Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo

Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge

Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!

Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,

Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?

Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?

Miafrika ni laana
We uelewa wako mdogo sana hao walioonesha nia wamekuzidi kwa mbali maana kiuhalisia hakuna reform yoyote itakayofanyika kabla ya uchaguzi wa mwaka huu, na habari ya no election ni mwehu tu anaweza kufikiria. Be realistic young man. You cannot make changes by brutal means
 
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi

CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,

Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!

Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo

Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge

Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!

Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,

Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?

Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?

Miafrika ni laana
Vipi kama lipo wanalolijua zaidi ya ujuavyo wewe, si umesema wapo ndani humo humo?!!!!
 
Na ndo mana ili nchi yetu ibadilike na ipate maendeleo ya kweli inahitaji viongozi wasioendekeza matumbo yao na wenye akili kweli kama Lissu na Heche.

Amini nakwambia. Ulikuwa mpango wa Mungu Lissu na Heche waongoze CHADEMA maana chama kingeanguka kwa hawa mapandikizi ya CCM sipati picha namna nchi hii ingetafunwa.
 
Njaa ni mbaya sana tutafute pesa kwa ajili ya wajukuu wasituletee aibu kama hii ya sasa,afrika siasa hawaiwezi.
 
Back
Top Bottom