sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,980
- 4,992
Ili chama kiingie kwenye malumbano ya hoja lazima kiwe na msingi wa nani ni nani anayewakilisha mawazo yake katika ngazi tofauti katika taifa letu.Lissu anatucheleweshea ulaji jaman
Kama chama hakina wawakilishi kwenye kata hadi jimboni nani atakichukulia kuwa kipo serious.?
Chadema ya zamani iliwezaje kuwa roll model ya political party ya Tanzania tena katika mazingira magumu zaidi labda kuliko ya sasa?
Hao washauri wenu maprofesa akina Baregu hamna wengine?
Bila kumungunya maneno mnahitaji experienced political scientist sio tu wanasheria wa mahakamani.Wafuasi wanataka excitement, ndelemo, shangwe,kitu ambacho kinawapatia taabu kukipata.
Msipokuwa makini UDP ya Mrema itakuwa juu yenu.