Nani hao? wataje tuwakemee tafadhaliNi kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!
Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo
Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge
Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!
Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,
Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?
Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?
Miafrika ni laana
Kwa hii mifumo ya uchaguzi ni mwendawazimu pekee anayedhani anaweza kugombea kutoka upinzani na akatangazwa mshindi baada ya kupata kura nyingi.
Hujuma, wizi wa kura na kila aina ya ujinga hufanywa na wasimamizi wa uchaguzi kwa msaada wa dola
We uelewa wako mdogo sana hao walioonesha nia wamekuzidi kwa mbali maana kiuhalisia hakuna reform yoyote itakayofanyika kabla ya uchaguzi wa mwaka huu, na habari ya no election ni mwehu tu anaweza kufikiria. Be realistic young man. You cannot make changes by brutal meansNi kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!
Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo
Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge
Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!
Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,
Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?
Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?
Miafrika ni laana
Vipi kama lipo wanalolijua zaidi ya ujuavyo wewe, si umesema wapo ndani humo humo?!!!!Ni kwanini nchi za Africa haziendelei