Ukitaka kujua Muafrika ana asili ya Ujinga na upumbavu angalia kinachoendelea sasaivi ndani ya CHADEMA

Kweli
 
Wajinga na wabinafsi tu hawo wakatie nia kwenye vyama vingine.
 
Wewe ndo unatakiwa watu wakushangae, mifumo inavyoendeshwa inahitaji mabadiliko.

Hili ni takwa la msingi la any civilized society, hatuwezi kuendelea na barbaric life.

Umepost nonsense kabisa!!! Nilitarajia ungewashangaa watu wanaoenda kupiga kura chini mfumo na sheria za uchaguzi za sasa!!!

Nina mashaka kama kweli unajua kitu ulichopost.

Ila tunaheshimu kila mtu ana haki ya kusikilizwa hata kama anaongea, au ameposti "UTUMBO " 🤔🤔
 
Mbowe ndio sheria za uchaguzi?
 
Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzake.

Ova.
 

..kwenye mkusanyiko wowote wa watu haiwezekani kuwa na mtizamo mmoja.

..jambo la msingi ni hoja inayoungwa mkono na waliowengi katika chama kuwa ndio msimamo wa chama.
 
Huwenda hauko timamu, mabadiliko yoyote ili yafanyike lazima watu wawe organized waunganishwe wawe na mtizamo mmoja, watu wataacha kupiga kura endapo kitakuepo chama au taasisi ya kuwaunganisha na wakaelimishwa juu ya haki zao
 
Nadhani wana akili kushinda mnaoshadidia no forum no erection! Maana hakuna kitakachobadilika na Samia atakuwa Rais, piga ua. Tundu Lissu anadhani alivyomuondoa Mbowe kirahisi Ndivyo atamtoa Samia, thubutu
 
Viongozi wanafanya hivyo kwa kuwa wanauhakika kwa kesho gao vijana nao vipi

USSR
KWAMBA CCM INAJALI VIJANA KULIKO CHADEMA? KAANGALIE KINACHOITWA SHULE ZA KATA UKAJIONEE
TUSITISHANE
 
Suluhisho la ustawi wa Afrika ni mapinduzi ya kijeshi siyo mapinduzi ya kisiasa
 
Reactions: vnn
Lissu anakimbia nini uchaguzi? Anaogopa kupata mbunge 1
 


Mko busy na chadema tu
Mbona vyama viko vingi sana?

Ccm wamekuja na wahitimu wa degree waende Veta mbona hupigi kelele

Nccr wametangaza mgombea Rais wao mbona husemi anything?

Uko busy na chadema tu

Hayo mapungufu yao ndio advantages za ccm kushinda
 
Chawa kama chawa
 

majitu mengine ni mapindikizi,
 
Huwenda hauko timamu, mabadiliko yoyote ili yafanyike lazima watu wawe organized waunganishwe wawe na mtizamo mmoja, watu wataacha kupiga kura endapo kitakuepo chama au taasisi ya kuwaunganisha na wakaelimishwa juu ya haki zao
Ku organize kunaanzia kwa kutoa elimu wewe Boya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…