Ili chama kiingie kwenye malumbano ya hoja lazima kiwe na msingi wa nani ni nani anayewakilisha mawazo yake katika ngazi tofauti katika taifa letu.Lissu anatucheleweshea ulaji jaman
Acha shobo bro😎Ili chama kiingie kwenye malumbano ya hoja lazima kiwe na msingi wa nani ni nani anayewakilisha mawazo yake katika ngazi tofauti katika taifa letu.
Kama chama hakina wawakilishi kwenye kata hadi jimboni nani atakichukulia kuwa kipo serious.?
Chadema ya zamani iliwezaje kuwa roll model ya political party ya Tanzania tena katika mazingira magumu zaidi labda kuliko ya sasa?
Hao washauri wenu maprofesa akina Baregu hamna wengine?
Bila kumungunya maneno mnahitaji experienced political scientist sio tu wanasheria wa mahakamani.Wafuasi wanataka excitement, ndelemo, shangwe,kitu ambacho kinawapatia taabu kukipata.
Msipokuwa makini UDP ya Mrema itakuwa juu yenu.
Wakalime.Viongozi wanafanya hivyo kwa kuwa wanauhakika kwa kesho gao vijana nao vipi
USSR
Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!
Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo
Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge
Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!
Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,
Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?
Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?
Miafrika ni laana
umevimba mwenyewe.Mtu mweusi ni nyani

Unatatizo la afya ya akili sikujibu tenaumevimba mwenyewe.
Jazba ya nini sasa.
Kwani Inakuuma sana kuona mwafrika ni nyani?
Hujui nyani ni Intelligent🤯💯
Jiongeze kijana.
Bahati mbaya ukiwa umeolewa uke wenza ukinuna mume anaenda kwa mke mwingine wapinzani nchi hii sio Chadema tu wakinuna kuna vyama 20 kidogo vya mikobani watashiriki tu na CCM wazuri kwenye hesabu hizo wanaweza kuwapa tu kiti kimoja pale kingine kule basi maisha yanaenda Chadema wanabaki na magwanda kama wana harakati tu. Shida ya Chadema wanadhani chama ni wao tu.Ni kwanini nchi za Africa haziendelei
Ujinga
Upumbavu
Ubinafsi
CHADEMA kamati kuu imekuja na azimio la No reform No election, kwa maana kua wanataka uchaguzi huru na haki kwanzia kwenye tume ifumuliwe na kusukwa upya,
Kinachofanyika hapa ni CHADEMA inataka suluhusho la kudumu la uchaguzi kwa sasa na vizazi vijavyo kuwe na haki na ushindani sawa!
Mfumo kandamizi unafanya kusiwe na ushindani huru, kuwe na wizi wa kura pamoja na rafu zingine za hovyo
Katikati ya mapambano ya kupigania mifumo huru ya uchaguzi ndani ya hicho hicho chama kuna watu wenye tamaa yanafanya juu chini waingie kwenye uchaguzi hata bila reforms! Kwa tamaa zao za kuwa wabunge
Huu ni uthibitisho tosha kua muafrika ni mjinga acha tuendelee kutawaliwa!
Badala ya kupigania uchaguzi huru ambao ni suluhisho la kudumu ili hata ukigombea ushinde au ushindwe kihalali unatanguliza tamaa mbele,
Kwa mifumo hii unalazimisha ukagombee ukiibiwa kura ulalamike au?
Kwa mifumo hii ya sasa unagombea ili ukashindeje yani?
Miafrika ni laana
Watu hawajui haki zao ?Huwenda hauko timamu, mabadiliko yoyote ili yafanyike lazima watu wawe organized waunganishwe wawe na mtizamo mmoja, watu wataacha kupiga kura endapo kitakuepo chama au taasisi ya kuwaunganisha na wakaelimishwa juu ya haki zao
Kinachokuuma ni nini?Unatatizo la afya ya akili sikujibu tena
Kuna vyama vya siasa zaidi ya 22 chadomo hakiwezi kushinikiza lolote au kugomea chochote peke yake. Mwaka huu mtazitapika hela za Amsterdam.Ni kwanini nchi za Africa haziendelei

Mlamba asali!