Ukitaka kujua Muafrika ana asili ya Ujinga na upumbavu angalia kinachoendelea sasaivi ndani ya CHADEMA

ANC ilikaa miaka 90 bila ya kuwa na mbunge
ANC ya south africa ilikaa miaka 90 bila ya mbunge wala diwani na still ikatoboa
 
Kwa hivyo Lissu anategemea nani atamuunga mkono kwa namna alivyomchafua Mbowe?

Na anategemea atapata wepesi huku watu roho zinakinyongo?

Mwanzoni hapahapa nilisema ikiwa Mbowe angeendelea Chadema ingekufa, lakini kutokana na namna baadaye Lissu alivyofanya Campaign mara bullet proof, mara lugha za hovyo, nilimuondoa Lissu kwenye orodha ya watu nilioona walikuwa muhimu.

Unavyopanda ndivyo unavuna, ilipaswa, wakae, kwa kuwa Mbowe alikuwa tayari kutoendelea, wangekaa, na Mbowe eidha ampigie campaign Lissu, ama vyovyote vile.

Asifikiri alimuumiza Mbowe peke yake, aliumiza watu wengi, kwani yeye ni msafi kiasi gani?
 
ANC ilikaa miaka 90 bila ya kuwa na mbunge
ANC ya south africa ilikaa miaka 90 bila ya mbunge wala diwani na still ikatoboa
kwa io we unawashauri chadema washiriki uchaguzi ivo ivo licha ya kuwepo kwa dhulma ya hali ya juukutoka ccm?
 
Wasishiriki kwani la ajabu nini? hata ile miaka waliyoshiriki nini kipya walileta zaidi ya kususa vikao tu walipata nini? Wakizira ndio kwanza wanajitoa kirahisi CCM ndio wanataka ususe wabebe. Unaleta mifano ya ANC mbingu na ardhi. ANC walikuwa chama cha harakati za ukombozi sio siasa. Jiongeze kidogo.
 
Siasa hazileti chakula mezani pesa inakileta mezani na kuongeza heshima nyumbani.

Unadhani kwanini Trump anazidi kuchukiwa na wamarekani muda huu?. Kwa sababu maamuzi yake yanaharibu riziki za watendaji wa serikali ya Marekani na asipoangalia watammaliza kwa risasi.
 
Unapigania umekaa unaandika katika key board.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…