Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi.

Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi. Progizini mkuu wa Wagner Group ndio kusema jeshi lake ni sawa tu jeshi la Ufaransa au Italy.

Sasa umeshawahi kujiuliza je Marekani ana mercenary army kubwa na powerful kama Wagner? Je, umeshawahi kuisikia ikifanya makeke makubwa kama haya ya wagner? Kama jibu lako ni hapana basi ujue Urusi sio Vanuatu!
 
Screenshot_20230216-060006_1.jpg
 
Pia ni elite forces kutoka spetznats na commando unit mbalimbali duniani plus other normal soldiers. Ila niwatata balaa.

Kuna jamaa mmoja mwenzao alitaka kutoroka katikati ya mapigano kule ukraine aiseee adhabu waliompa sio ya dunia hii mpaka you tube wameiedit ile video jamaa anapigwa na nyundo nzito kichwani sleigh hammer duuuh anapasuliwa fuvu kwà nyundo nzito aiseee wagner ni habari nyingine.
 
Naomba link kaka
 
Wagner Group ni kikosi kilichoundwa na wapiganaji binafsi kutoka mataifa mengi. Miongoni mwao ni wafungwa kutoka magereza ya Urusi wakiwemo Waafrika.

Umewakuza tu bila facts wala sababu za msingi.

Mkubwa wa mashetani analichukia sana hilo dude linaloitwa WAGNER.

WAGNER IS STRONG THAN NATO. jiwe gizani
Juzi hapa nisoma taarifa kutoka reliable source wanasema USA intel agencies zina mpango wa ku-recruit hard core ISIS na makundi mengine ya kigaidi kuwapenyeza Urusi ili waanzishe vurugu za kigaidi nchini Urusi - Sasa mimi nikuwa nashauri kundi la Wagner Group nalo liwafunze magaidi wa kwenda hukohuko Merikani kupitia njia za panya na wao walianzishe ngoma iwe draw - juzi juzi hapa niliona kiongozi wa kikundi cha Wagner akisema amekwisha pata Wamerikani karibu million tano kama sikosei ambao wamejitolea kwenda kusaidiana na jeshi la Urusi kupigana huko Ukraine - what does this tell you? Ni wazi Wamerikani wengi wamechoshwa na tabia mbovu za Viongozi wao wapenda vita na uonezi - kujifanya Miungu watu, wana slap punitive sanctions kwa taifa lolote muda wowote wapendao hawafuati kanuni za umoja wa mataifa linapo kuja suala la vikwazo vya kiuchumi - kama nakumbuka vizuri Umoja wa mataifa uliwahi kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Serikali ya makaburu Afrika kusini - lakini tangu vita baridi visitishwe in 1990s Amerika ndio ilianza kuvimba kichwa na kuweka weka ovyo sanction kwa mataifa ambayao haya kubaliani ni siasa zake za kulazimisha mambo - anafanya mambo bila ya kupata baraka/kibali cha umoja wa Mataifa - ndio maana Urus/Putin anasema enough is enough na liwalo liwe and remember Putin is not alone katika kutaka kukomesha jeurina kiburi cha Merikani wapo pia Wachina, Korea Kaskazini,Iran na majority wa third World ingawa hawasemi moja kwa moja - lakini wanatamani sana Merikani ikomeshwe jeuzi zake za kudharau Maitaifa yenye uwezo mkubwa wa kuifuta kabisa kutoka katika uso wa aridhi - hatusemi na wao hawawezi kupata madhara lakini wao walisha jitayarisha kwa miaka mingi jinsi ya ku-minimise madhara au hata intercept ICBMs na cruise missiles pamoja na a formidable air defense systems.
 
Upo sahihi Ndugu Angalia Maelezo Haya ya Mwingereza Kuhusu Marekan japo Anailinganisha na China
Kuhusu viongozi wa Marekan Wanavyo fanya
Kiukweli Huyu jamaa Kasema Mengi japo kwa Ufupi

Back
Top Bottom