Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

Endelea kushangilia ukijua kuna nchi inakupenda sana kuliko wao. Iko hivi Marekani, German, Ufaransa na Uingereza wamejipatia mali nyingi sana kipindi cha ukoloni na kuwa nchi za uchumi mkubwa kwa kuiba mali za Afrika. China na Urusi hawakuwepo japo wanatengeneza silaha lkn uchumi wao upo chini kwahiyo wanakuja Afrika kwa kisingizio cha kulinda amani lakini ni wezi wakubwa.
Wanatembeza kichapo? Urusi, Mchina na Marekani ni wezi wakubwa. Wanaiba mali zetu
mrusi akwibie nini wewe?ambacho yeye hana,unaijua maliasili ya urusi?wezi ni nchi za ulaya ambazo ni maskini wa"maliasili".
 
Kweli nandio maana vita kwasasa inapigwana MISCOW

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ukraine alikuwa na kazi ya kumtoa adui ndani na amefanikiwa karibu 80%, Urusi ilifika hadi ndani ya Kyiv Zelensky alikuwa kwenye mahandaki lakini sasa Kyiv imekuwa huru mpaka mikutano ya kimataifa inafanyika huko pembeni pembeni kuliko baki kazi inaendelea na amini usiamini adui akimalizwa ndani wanaume wataibukia Moscow, usitegemee sana Putin kuendelea kubaki kuwa Rais wa Moscow muda utafika utanambia
 
USHAURI: Ukiona kichaka ndotoni, usijaribu kujisaidia
 
Mkuu Ukraine alikuwa na kazi ya kumtoa adui ndani na amefanikiwa karibu 80%, Urusi ilifika hadi ndani ya Kyiv Zelensky alikuwa kwenye mahandaki lakini sasa Kyiv imekuwa huru mpaka mikutano ya kimataifa inafanyika huko pembeni pembeni kuliko baki kazi inaendelea na amini usiamini adui akimalizwa ndani wanaume wataibukia Moscow, usitegemee sana Putin kuendelea kubaki kuwa Rais wa Moscow muda utafika utanambia
Ndio maana vita inapiganwa MOSCOW hongera sana Elensky

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ETI MAHABA INA MAANA NINYI MZIKI WA (WAGINA) HAMUUONI NINYI.
Tangu mwezi WA 9 mwaka jana Hao Wagner wameteka mji mmoja tu WA SOLEDAR. Mji WA BAKHMUTI umewashinda na wengi wao watateketea kwenye mji huo. Unakumbuka wapiganaji WA CHECHEN? Hao jamaa walitamba Sana lakini mpaka Leo kimya, waliteketezwa kule Lyman akabaki mkuu wao tu SHEKHE Kadyrov na ndevu zake. Huyu jamaa Kadyrov kwa mbwembwe alipeleka mpaka watoto wake Frontline lakini wapi.
 
🤣🤣🤣🤣 Haujaona white house wamekomfemu Bakhmut imekwenda na maji?? NATO yote ilikuepo hapo Bakhmut kudifendi mji using'oke lakini musiki wa WAGNER sio wa muchezo
 
Tangu mwezi WA 9 mwaka jana Hao Wagner wameteka mji mmoja tu WA SOLEDAR. Mji WA BAKHMUTI umewashinda na wengi wao watateketea kwenye mji huo. Unakumbuka wapiganaji WA CHECHEN? Hao jamaa walitamba Sana lakini mpaka Leo kimya, waliteketezwa kule Lyman akabaki mkuu wao tu SHEKHE Kadyrov na ndevu zake. Huyu jamaa Kadyrov kwa mbwembwe alipeleka mpaka watoto wake Frontline lakini wapi.
Wakati wamarekani wanawajadili na kuhofia utendaji wao.Mimi ni nani hata nisikubali kwamba hawa ni kiboko.Kwa sababu ni kikundi kule kuteka hata huo mji mmoja ni mafanikio tosha.
 
Back
Top Bottom