5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
He sijakutegemea kuja na thread kama hii., Ivi unajua mpaka Putin ameingiza Wagner group nini kilitokea??? Jeshi lake la awali ambalo alipanga kumaliza kazi Ukrean 3hrs lilifyekwa, vijana alioandikisha kwangu takriban 300 na kuwapa mafunzo ya kijeshi walifyekwa, wafungwa pia ambao alisema atawasamehe makosa yao lakini wakaongeze nguvu kupigana na wao wakafyeka utakumbuka kina Raymond yule wa TzRussia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi.
Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi. Progizini mkuu wa Wagner Group ndio kusema jeshi lake ni sawa tu jeshi la Ufaransa au Italy.
Sasa umeshawahi kujiuliza je Marekani ana mercenary army kubwa na powerful kama Wagner? Je, umeshawahi kuisikia ikifanya makeke makubwa kama haya ya wagner? Kama jibu lako ni hapana basi ujue Urusi sio Vanuatu!
Kuna wanajeshi alikodi toka Syria yale makundi ya Islamic state ambao madevu yao yalikua yanaonekana waziwazi kweye picha akiwatumia wengi wameuliwa na wengine kumsaliti lakini majenerali zaidi ya 20 pia walienda na maji ndio mana sasa amekuja na hilo kundi la Wagner group hichi ni kikundi kinapelekwa vitani ni kama huko Tz ukisikia nchi inaingia vitani lakini wanajeshi wanaopelekwa ni KVZ, au Fire, JKU nk.
Lakini jambo hili linasikitisha sana kuona kwamba sasa Putin ameidhalilisha Urusi kwa kumuweka kamanda wake mkuu wa majeshi ya Urusi awe chini ya Wagner group maana yake ni kwamba Urusi imeshaanguka
Kama ulimsikiliza Biden juzi alimcheka sana na kumwambia Putin umechagua vita lakini inashangaza sana kwamba muda mfupi huna tena jeshi sasa unakodi makundi ya kigaidi kupeleka vitani kupigana kwa Taifa la urusi,
Urusi imeshaanguka broo