Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Unaelewa kilichoandikiwa hapa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wanafanya kazi za urusi au zisizokinzana na urusi na si kinyume chake.Ok. Kwa mantiki hiyo, Wagner soldiers wanapigana sio kwa sababu wanaipenda na kuitetea Urussi bali ni kwa sababu wanalipwa fedha kwa kazi hiyo ya kuua askari wanaompinga Urussi. Laiti ingelitokea Ukraine angeliwahi kuwakodi hao Wagners kwa donge nono zaidi ya Urussi, basi leo hii ungekuta Wagners wanapigana upande wa Ukraine. Wagners ni money monger hakuna cha uzalendo hapo. Wagners ni lazima watoe adhabu kali na ya kutisha e.g. kukata nyeti za askari wanaotaka au kuonesha dalili ya kujisalimisha na kutelekezwa hapo wajifie kwa kihoro kwani hakuna askari wa Wagner gp. aliyeajiriwa kwa kazi ya kujisalimisha au kutoroka. Askari wa Wagner anatakiwa Afe au Ashinde mapigano na sio vinginevyo. Hata kijana Mtz Tarimo yalimkuta hayo.

SawaNyie ndo wenye mahaba, ambao hawapendi ukweli as a intelligent nilitegemea ungeendelea kumuelimisha mleta mada ili arudi kuapply his/her mind ktk kuchambua mambo haya na sio kumezwa na mahaba ok
Huwezi kudanganya umma ya wasomi et wanadanganywa na western media wakati huo huo ndo unako tolea umbea unaoleta humu, unafikiri as a intelligent media zipi hizo duniani ambazo hazina propaganda?
Be smart tumia akili bwashee!!
.......Lakini kwa malipo.Hao wanafanya kazi za urusi au zisizokinzana na urusi na si kinyume chake.
Hakuna. Ila unalipwa kwa masharti gani na unawajibika kwa nani kwa malipo hayo?
Ni Kama Tanzania tunavowanyia ukoloni watanganyika kwa kuwazimisha muungano na z'berUnacho paswa kuelewa, kwamba hata TBC ni propaganda ndo zimejaa mle kuelekea kuaminisha wananchi jambo fulani, hizo media zote ni propaganda unacho takiwa wewe kufanya ni kujiongeza na kutumia akili ok.
Katika hii vita ya Russia dhidi ya jirani yake, ni funzo kwa mataifa madogo like Tanzania, kwamba hatuko salama hata kidogo na tunatakiwa tuanze mara moja kuifanyia utafiti madini ya urani ili tusije jikuta tumechelewa.
Ni uonevu wa kiwango cha lami ambayo Russia wanaifanyia Ukraine, kwa wale ambao wamesimama na Ukraine Mungu awazidishie, ule ni ukoloni na ukatili wa ajabu.
Jiwe fatumaMkubwa wa mashetani analichukia sana hilo dude linaloitwa WAGNER.
WAGNER IS STRONG THAN NATO. jiwe gizani
Labda nikusaidie kitu,Narudia tena wargner limesajiliwa nje ya RUSSIA limesajiliwa huko argentina
Kusajili taasisi wargner nje ya RUSSIA hawana shida na wewe hata kama kazi utakua unafanyia ndani ya KREMLIN ama DUMA
Sasa sijuajua unabisha kusajiliwa nje ya RUSSIA ama unabisha nini
Kuhusiana na kufanya kazi wenyewe wameridhia lifanye kazi popote pale maadam halijasajiliwa ndani ya mipaka ya RUSSIA
Wargner halijiendeshi kijeshi ndani ya RUSSIA linapiga mishe zake nje ya RUSSIA kama hapo UKRAINE west afrique kule natunaliombea liione na kongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mkataba umekuwa ukitajwa sana humu jukwaani lakini mara kadhaa nimekuwa nikiomba uthibitisho wa kuwepo kwake. Mpaka sasa hakuna aliyeuleta humu.Unafahamu mkataba wa nato na urusi dhidi ya mipaka ya kujitanua kwa NATO kuelekea east?
Endelea kushangilia ukijua kuna nchi inakupenda sana kuliko wao. Iko hivi Marekani, German, Ufaransa na Uingereza wamejipatia mali nyingi sana kipindi cha ukoloni na kuwa nchi za uchumi mkubwa kwa kuiba mali za Afrika. China na Urusi hawakuwepo japo wanatengeneza silaha lkn uchumi wao upo chini kwahiyo wanakuja Afrika kwa kisingizio cha kulinda amani lakini ni wezi wakubwa.Russia kwà maana ya Urusi ni dude kubwa duniani very powerful and influencial tunadanganywa sana na western media kwà kuidogosha Urusi.
Hebu waangalie Wagner. Wanatoa kichapo Ukraine wanatoa kichapo afrika magharibi wanatoa kichapo Kongo DRC. Huo ni mkono wa kushoto wa Putin kwà maana ya urusi. Progizini mkuu wa Wagner Group ndio kusema jeshi lake ni sawa tu jeshi la Ufaransa au Italy.
Sasa umeshawahi kujiuliza je Marekani ana mercenary army kubwa na powerful kama Wagner? Je, umeshawahi kuisikia ikifanya makeke makubwa kama haya ya wagner? Kama jibu lako ni hapana basi ujue Urusi sio Vanuatu!
Ndugu yangu, tayari nimeona umechagua upande, itakuwa ni vigumu kuchambua hili kadhia ya Urusi kwa jirani yake Ukraine wakati umesha jipambanua upande wako, itakuwa sasa ni kupingana na sio kuchambua kwa hoja ok.We mzee wa ok bwana [emoji1787][emoji1787] kwahyo wewe ni intelligent ? Unajua nchi za ulaya na marekani wametoa pesa na silaha kiasi gani kwa Ukraine?
Unajua mercenaries wangapi wapo Ukraine wanapigana dhidi ya urusi? Unajua msaada wa intelligence anaoutoa USA dhidi ya majeshi ya urusi?
Unaelewa kua Ukraine alikua upande wa urusi enzi za USSR? Unafahamu mkataba wa nato na urusi dhidi ya mipaka ya kujitanua kwa NATO kuelekea east?
Tukae tutulie, mtu mwenye nguvu za kijeshi ataonekana, na mtu mwenye nguvu ya mdomo ataonekana... ila kaa ukijua 27% ya ardhi ya Ukraine imeenda, na ndio kwanza operation inakolea.
Ndugu yangu, tayari nimeona umechagua upande, itakuwa ni vigumu kuchambua hili kadhia ya Urusi kwa jirani yake Ukraine wakati umesha jipambanua upande wako, itakuwa sasa ni kupingana na sio kuchambua kwa hoja ok.
Ukraine ni nchi huru, USSR tayari ilisha sambaratika na haitorudi kamwe na hicho ndo kinacho muuma Putin, ungeniwekea hapa huo mkataba wa NATO na Urusi, I think ingekuwa poa sana.
Kutoa silaha, sijui mercenaries,etc, haimanishi Urusi imevamiwa ok, Ukraine ana haki ya kujilinda as a nchi huru na kuwa marafiki anaowataka ok.
Hawa big powers in the world wana tabia ya kuyumbisha mataifa madogo kwa kuwapandikizia viongozi vibaraka watao linda maslahi yao ok.
Russia walifanya hivyo Ukraine kwa kumweka Viktor Yanukovich kulinda maslahi yao pale Kyiv, but kwa bahati mbaya kambi ya Russia ikawa imezidiwa hoja na sera na kambi waliokuwa wakipendelea EU bloc.
Ikapelekea Viktor Yanukovich kukimbia nchi kwenda kwa baba yake Moscow, lakini raia wa Ukraine walikuwa sahihi kabisa waliona wakijiunga EU watanufaika na mengi sana kiuchumi, kijamii, n.k, badala Moscow hakupenda ndo chanzo cha kunyakua Cremea na haya unayo yaona yanaendelea na wewe unashabikia.