Mimi siko kama wewe know that ok, first of all sina upande penye ukweli nasema penye uongo pia nasema, if you are intelligent person unatakiwa utumie akili yako na sio kumeza kila unacholetewa ok,
Unazidi kujiimarisha kwenye uongo, na propaganda hizo hizo za western na Estern media, kujiunga kwa Mtanzania Tarimo mchakato wake haukuwa wa wazi ok, hujui ukweli wake ila unavyoshikilia ni kama umeathirika na propaganda hizo hizo.
Up to now dunia iko salama, kila mtu wana ajenda zao siri, kila upande wanapambana kutawala dunia na ndo kuna msuguano btn western and Eastern bloc ok