Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

Ukitaka kujua nguvu na ushawishi wa Urusi waangalie Wagner Group

Wagner Group ni kikosi kilichoundwa na wapiganaji binafsi kutoka mataifa mengi. Miongoni mwao ni wafungwa kutoka magereza ya Urusi wakiwemo Waafrika.

Umewakuza tu bila facts wala sababu za msingi.

Kwani mtu ukiisha kua mfungwa ukimaliza kifungo unapoteza uhalali wq kufanya kazi?

Kwani Wagner kua na askari kutoka mataifa mengine inapoteza uhalali kua ni jeshi linalotokea Urusi?
 
Kwani kuna shida kwao kua na wapiganaji toka AFRIKA na TANZANIA

Ile ni Private Millitary Company ukiona unaweza kwenda hata wewe unaruhusiwa labda kwa pale TANZANIA wanazuiwa tu sheria za nchi yao ila nchi nyengine kawaida

Kuhusiana na msiba hasa wa jamaa yetu TARIMO umetuuma sana sababu ni MUAFRIKA mwemzetu MTANZIANI na mwisho kabisa BINAADAMU

Ila TARIMO alikufa kishujaa akiipambania DUNIA sio kuiharibu kama wanavyofanya WESTERN na shost zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweleze kua kua na Raia wa nchi nyingine kunaiondolea Wagner uhalali wa kua na ya Urusi?
Je anafahamu kua jeshi la USA Lina raia wa nchi nyingine?

Au Wagner kua wapiganaji kutoka nchi nyingine kumepunguza performance yake?
Au mbona Ukraine Kuna mamluki wqnapigana upande wa Ukraine wametokea nchi nyingine?
Tena wala hawapo kisheria.
 
Kwani mtu ukiisha kua mfungwa ukimaliza kifungo unapoteza uhalali wq kufanya kazi?

Kwani Wagner kua na askari kutoka mataifa mengine inapoteza uhalali kua ni jeshi linalotokea Urusi?
Wagner Group halitambuliki kisheria kama jeshi halali la Urusi. Linafanya kazi zake za kijeshi kinyume cha sheria za Urusi.

Unafahamu hilo?
 
Mweleze kua kua na Raia wa nchi nyingine kunaiondolea Wagner uhalali wa kua na ya Urusi?
Je anafahamu kua jeshi la USA Lina raia wa nchi nyingine?
Wagner Group siyo jeshi halali la Urusi. Unazijua sheria za Urusi? Je, unafahamu kuwa kwa mujibu wa sheria za Urusi majeshi binafsi ya kukodi ni uvunjifu wa sheria?

Unazijua sheria na taratibu za kujiunga na jeshi la Marekani?
 
Nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri, umeathirika na propaganda za western and Eastern bloc, tumia akili bwashee so unamanisha propaganda za Russia kwako ni ukweli si ndiyo?

Ukraine ni taifa huru kama ilivyo Tanzania, anayo haki ya kujiunga na jumuiya yoyote ile duniani bila kupangiwa au kuingiliwa mambo yake ok.

Uhalisia, Ukraine umechokozwa na kuvamiwa na Russia kwa sababu na malengo binafsi ya Putin ok, anachokifanya Putin kwa raia wa Ukraine ndicho walichokifanya Western powers katika mataifa mengine.

So kusema kwamba Russia hapigani na Ukraine, et Ukraine ni uwanja tu ni ujinga na kutoielewa historia vilivo ok, Russia anaonyeshwa ubabe wa Magharibi pamoja na kupiga mkwara yote bt Western powers wanamuonyesha kwamba hawamuogopi ok
Tatizo umekaririshwa kuwa Russia sikuzote ni wachokozi na USA siku zote ni maraika mpatanishi

Kwasababu ya kukariri kwako na kushupaza shingo, hakuna haja ya majibizano, acha tu tuendeleze kichapo labda uko mbele mtakuja kuelewa
 
Acha porojo!

Nakupa mtihani mdogo tu: funga safari nenda katika familia na ndugu za hao wahanga kisha waambie kwamba ndugu yao/zao walikufa kishujaa wakiipambania "dunia".

Nenda katika mataifa ya Afrika yenye wahanga kutoka Wagner Group, kawaeleze familia na ndugu zao hicho ulichosema.

Nenda kaziambie hivyo serikali na nchi zilizohitaji majibu kuhusu raia wake kufa baada ya kutumika vitani na Wagner Group (Urusi).

Ukisalimika, usisahau kuleta mrejesho hapa!
Ndugu zao kupingana na ukweli wangu sio kwamba wao wapo sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wagner Group siyo jeshi halali la Urusi. Unazijua sheria za Urusi? Je, unafahamu kuwa kwa mujibu wa sheria za Urusi majeshi binafsi ya kukodi ni uvunjifu wa sheria?

Unazijua sheria na taratibu za kujiunga na jeshi la Marekani?
Majeshi ya kukodi ndani ya RUSSIA ndio hayaruhusiwi ila nje ya hapo ruhsa

Nandio maana wagner lipo chini ya RUSSIA ila usajili wake umefanyika nje ya RUSSIA kama sijakosea ni BRASIL ama ARGENTINA

Kuna muda sheria pia inapindishwa ili usalama wa taifa uwe sehemu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom