Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hata RUSSIA aliishiwa toka marchWagner wameishiwa silaha
Wagner once again published a very graphic video begging to be provided with ammunition. In the video, hundreds of corpses of mercenaries are in a room, placed there to show they could have been alive if help had been given. https://t.co/6kOG7cD8Gw
mrusi akwibie nini wewe?ambacho yeye hana,unaijua maliasili ya urusi?wezi ni nchi za ulaya ambazo ni maskini wa"maliasili".Endelea kushangilia ukijua kuna nchi inakupenda sana kuliko wao. Iko hivi Marekani, German, Ufaransa na Uingereza wamejipatia mali nyingi sana kipindi cha ukoloni na kuwa nchi za uchumi mkubwa kwa kuiba mali za Afrika. China na Urusi hawakuwepo japo wanatengeneza silaha lkn uchumi wao upo chini kwahiyo wanakuja Afrika kwa kisingizio cha kulinda amani lakini ni wezi wakubwa.
Wanatembeza kichapo? Urusi, Mchina na Marekani ni wezi wakubwa. Wanaiba mali zetu
Mkuu Ukraine alikuwa na kazi ya kumtoa adui ndani na amefanikiwa karibu 80%, Urusi ilifika hadi ndani ya Kyiv Zelensky alikuwa kwenye mahandaki lakini sasa Kyiv imekuwa huru mpaka mikutano ya kimataifa inafanyika huko pembeni pembeni kuliko baki kazi inaendelea na amini usiamini adui akimalizwa ndani wanaume wataibukia Moscow, usitegemee sana Putin kuendelea kubaki kuwa Rais wa Moscow muda utafika utanambia
USHAURI: Ukiona kichaka ndotoni, usijaribu kujisaidiaMkuu Ukraine alikuwa na kazi ya kumtoa adui ndani na amefanikiwa karibu 80%, Urusi ilifika hadi ndani ya Kyiv Zelensky alikuwa kwenye mahandaki lakini sasa Kyiv imekuwa huru mpaka mikutano ya kimataifa inafanyika huko pembeni pembeni kuliko baki kazi inaendelea na amini usiamini adui akimalizwa ndani wanaume wataibukia Moscow, usitegemee sana Putin kuendelea kubaki kuwa Rais wa Moscow muda utafika utanambia
Ndio maana vita inapiganwa MOSCOW hongera sana ElenskyMkuu Ukraine alikuwa na kazi ya kumtoa adui ndani na amefanikiwa karibu 80%, Urusi ilifika hadi ndani ya Kyiv Zelensky alikuwa kwenye mahandaki lakini sasa Kyiv imekuwa huru mpaka mikutano ya kimataifa inafanyika huko pembeni pembeni kuliko baki kazi inaendelea na amini usiamini adui akimalizwa ndani wanaume wataibukia Moscow, usitegemee sana Putin kuendelea kubaki kuwa Rais wa Moscow muda utafika utanambia
Tangu mwezi WA 9 mwaka jana Hao Wagner wameteka mji mmoja tu WA SOLEDAR. Mji WA BAKHMUTI umewashinda na wengi wao watateketea kwenye mji huo. Unakumbuka wapiganaji WA CHECHEN? Hao jamaa walitamba Sana lakini mpaka Leo kimya, waliteketezwa kule Lyman akabaki mkuu wao tu SHEKHE Kadyrov na ndevu zake. Huyu jamaa Kadyrov kwa mbwembwe alipeleka mpaka watoto wake Frontline lakini wapi.ETI MAHABA INA MAANA NINYI MZIKI WA (WAGINA) HAMUUONI NINYI.
🤣🤣🤣🤣 Haujaona white house wamekomfemu Bakhmut imekwenda na maji?? NATO yote ilikuepo hapo Bakhmut kudifendi mji using'oke lakini musiki wa WAGNER sio wa muchezoTangu mwezi WA 9 mwaka jana Hao Wagner wameteka mji mmoja tu WA SOLEDAR. Mji WA BAKHMUTI umewashinda na wengi wao watateketea kwenye mji huo. Unakumbuka wapiganaji WA CHECHEN? Hao jamaa walitamba Sana lakini mpaka Leo kimya, waliteketezwa kule Lyman akabaki mkuu wao tu SHEKHE Kadyrov na ndevu zake. Huyu jamaa Kadyrov kwa mbwembwe alipeleka mpaka watoto wake Frontline lakini wapi.
Wakati wamarekani wanawajadili na kuhofia utendaji wao.Mimi ni nani hata nisikubali kwamba hawa ni kiboko.Kwa sababu ni kikundi kule kuteka hata huo mji mmoja ni mafanikio tosha.Tangu mwezi WA 9 mwaka jana Hao Wagner wameteka mji mmoja tu WA SOLEDAR. Mji WA BAKHMUTI umewashinda na wengi wao watateketea kwenye mji huo. Unakumbuka wapiganaji WA CHECHEN? Hao jamaa walitamba Sana lakini mpaka Leo kimya, waliteketezwa kule Lyman akabaki mkuu wao tu SHEKHE Kadyrov na ndevu zake. Huyu jamaa Kadyrov kwa mbwembwe alipeleka mpaka watoto wake Frontline lakini wapi.