Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama parking. Baaasi

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hello!
Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara.

Kwa ofisi zilizojaa watu wa Ulaya na Amerika gari sio issue sana. Hata bosi anaweza kuja kazini kwa mguu au kwa baiskeli ila hizi ofisi za Kibongo au za watu wa Asia usisahau kuangalia parking ili kama utaamua kwenda kusaidiana na masenior kuogelea kwenye umaskini sawa. Usiseme sijakuambia.

Mbongo akipata pesa majitaji yake muhimu ni mawili 1.Gari, 2.Nyumba. So ukiona parking kavu maana yake pesa hakuna hapo.
 
kuna kampuni fulani nilienda mimi na mfanyakazi mwenzangu kupeleka nyaraka fulani hapo

tulikuwa na toyota voxy safi full black

kufika parking tuliona aibu kiasi fulani kulikuwa na toyota mbili yetu na moja hilux ya watu wa usafi kwenye kampuni hiyo
gari zilizopark pale zilikuwa ni gari za bei sana kiasi kwamba mpaka unaweza dhani kuwa hawa jamaa wanashindana maisha

location;zanzibzr
 
Hapo tumekosea gari mtu ashindi humo, Nyumba nzuri na Amani ndio namba moja.

Iweje mtu awe na gari zuriii na anapanga au nyumba hata kukaa akafurahia aneijenga hawezi..

U GT wa huku wewe bado sanaaaa.. Badilisha fikra.

Na nchini kiulaya ulaya imeshaanzaga na inazidi kupaaa.. Jazia toka umeyaandika
 
Kuna ofisi ya umma nilienda kuomba kuhamia. Aisee nilipigwa virungu vya hovyo hovyo. Daah kuna sehemu umaskini umewakalia vibaya sana.
Nikaghairi
 
Hapo tumekosea gari mtu ashindi humo, Nyumba nzuri na Amani ndio namba moja.

Iweje mtu awe na gari zuriii na anapanga au nyumba hata kukaa akafurahia aneijenga hawezi..

U GT wa huku wewe bado sanaaaa.. Badilisha fikra.

Na nchini kiulaya ulaya imeshaanzaga na inazidi kupaaa.. Jazia toka umeyaandika
Naona hujanielewa.
Nimesema kipaumbele cha Watanzania ni gari na nyumba.
Ofisni huwezi kuangalia nyumba za watu utaangalia magari ambayo movable.
Sijasema nyumba si kitu.
Nyumba na gari ni ndoto ya Watanzania wengi. Mtu ajkishindwa kupata kimoja au vyote kati ya hivyo tafsiri yake kipato chake hakiko stable.
Still naendelea kusema kaangalie vizuri parking ya unakoomba kazi
 
Kuna swali huwa najiuliza, parking za shule za serikali mjini zinakua na magari, lakini parking za shule za vijijini huwezi kukuta gari, wajuzi nisaidieni hili
Sasa kijijini gari ya kazi gani?
Kijijini boda inatosha.
Dar es salaam na majiji mengine walimu waliojaa ni wanawake. Nadhani tabia za wanawake unazijua
 
Kuna chama cha ushirika kagera KCU 1990. Pale ukienda utakuta magari mawili au matatu parking tena ya milioni kumi, ndani furnitures zimechoka Cpu cijui pentium hipi , photocopy machine wanatumia copy writter Ila wanakula maisha BOT wakasome.
 
Sasa kijijini gari ya kazi gani?
Kijijini boda inatosha.
Dar es salaam na majiji mengine walimu waliojaa ni wanawake. Nadhani tabia za wanawake unazijua
Aliye peleka ajira za walimu na manesi Halmashauri ndye alileta shida. Halmashauri pisi zote kali zipo makao makuu ya wilaya ni michepuko ya wahasibu, mafisa Ugavi, mifugo uvuvi mkurugenzi katibu afya Maafisa utumishi na mainginia
 
So wanajichotea asali.
 
Kabisa ukikuta parking kavu jua hapo jua ni Kali
kuna kampuni fulani nilienda mimi na mfanyakazi mwenzangu kupeleka nyaraka fulani hapo

tulikuwa na toyota voxy safi full black

kufika parking tuliona aibu kiasi fulani kulikuwa na toyota mbili yetu na moja hilux ya watu wa usafi kwenye kampuni hiyo
gari zilizopark pale zilikuwa ni gari za bei sana kiasi kwamba mpaka unaweza dhani kuwa hawa jamaa wanashindana maisha

location;zanzibzr
Watu walikuwa wameweka vyuma tupu.
 
Hello!
Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote.
Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara.
Kwa ofisi zilizojaa watu wa Ulaya na Amerika gari sio issue sana. Hata bosi anaweza kuja kazini kwa mguu au kwa baiskeli ila hizi ofisi za Kibongo au za watu wa Asia usisahau kuangalia parking ili kama utaamua kwenda kusaidiana na masenior kuogelea kwenye umaskini sawa. Usiseme sijakuambia.
Mbongo akipata pesa majitaji yake muhimu ni mawili 1.Gari, 2.Nyumba. So ukiona parking kavu maana yake pesa hakuna hapo.
Mentality ya kizamani sana!! Gari si indicator ya maisha mazuri hata kidogo kwa maisha ya sasa! Inaweza kuwa ni indicator ya watu kujaribu kuficha magumu yao kwa kujipatia kausafiri!! Nani ashindwe kupata gari la mkopo!! Nenda kwenye parking ya shule yoyote ya msingi utakutana na viusafiri vingi mno!!
Ukitaka kujua hali ya maisha ya mtu mtembelee nyumbani kwake!! Unaweza kumtembelea na kausafiri kako wakati yeye anatumia boda boda lakini ukifika nyumbani kwake unamvulia kofia!! Wakati wewe umepanga yeye ana bonge la bangaluu!!
 
Back
Top Bottom