Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama parking. Baaasi

Ukitaka kujua ofisi unayotaka kufanya kazi, wafanyakazi wana hali gani, wewe tazama parking. Baaasi

Sasa hivi hasa mijini walimu wa shule za msingi za serikali wanatisha unakuta gari za walimu kibao shuleni
 
Mentality ya kizamani sana!! Gari si indicator ya maisha mazuri hata kidogo kwa maisha ya sasa! Inaweza kuwa ni indicator ya watu kujaribu kuficha magumu yao kwa kujipatia kausafiri!!
Akili huna kwa hiyo mtu anaficha umaskini kwa utajiri

Hueleweki
 
Tumbaku ina process mkuu yani Kagera ukiwa na mtaji milioni tano msimu wa kahawa ukianza mwezi wa nne ukanunua kahawa kwa wakulima wa chini ukaja kuuza mwezi wa saba Milioni tano inakuwa kuwa 15 kama sio 17 trust me.
Kangomba style sio?

NJE YA MADA
Hilo Jina Rutabo sio eneo la umisheni lililopo kijiji cha Kamachumu..
Nimewahi kaa hapo miezi 4...
 
Hello!
Ofisi yoyote iwe ya serikali au binafsi kama tu iko hapa Tanzania wewe tazama parking. Halafu uliza idadi ya wafanyakazi wote. Ofisi ina wafanyakazi 50 parking kuna gari binafsi 3 tu ya mwasibu, Afisa manunuzi na ya meneja tu hapo pamejaa ufukara. Nawewe unakwenda kuambukizwa ufukara.

Kwa ofisi zilizojaa watu wa Ulaya na Amerika gari sio issue sana. Hata bosi anaweza kuja kazini kwa mguu au kwa baiskeli ila hizi ofisi za Kibongo au za watu wa Asia usisahau kuangalia parking ili kama utaamua kwenda kusaidiana na masenior kuogelea kwenye umaskini sawa. Usiseme sijakuambia.

Mbongo akipata pesa majitaji yake muhimu ni mawili 1.Gari, 2.Nyumba. So ukiona parking kavu maana yake pesa hakuna hapo.
Gari muhimu mwanawane hawa wanawake pisi kali bila gari utaishia kuwapigia nyeto....speaking from experience
 
Back
Top Bottom